Duration 3:3:34

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA YA JUMAPILI KUSIFU NA KUABUDU

14 881 watched
0
233
Published 7 Feb 2021

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA YA JUMAPILI YAKUSIFU NA KUABUDU 07/02/2021 UJUMBE WA LEO: NENO LA MUNGU LINA NGUVU Yeremia 23 : 28 - 29 28 Nabii aliye na ndoto, na aseme ndoto yake; na yeye aliye na neno langu, na aseme neno langu kwa uaminifu. Makapi ni kitu gani kuliko ngano? Asema Bwana. 29 Je! Neno langu si kama moto? Asema Bwana; na kama nyundo ivunjayo mawe vipande vipande? THE WORLD OVERVIEW AND POPULATION Bara la Asia 1. Bara la Asia lina idadi ya watu 4,664,593,435. ➢ Sawa na 4.7 Billions ➢ Ukubwa wa eneo lake ni 31,033,131 km2 ➢ Ndiyo Bara la kwanza kwa ukubwa duniani. Africa 2. Africa ni bara la pili kwa ukubwa duniani na lina idadi ya watu 1,359,659,536 Africa ina ukubwa 29,648,481 km2 ➢ Africa ina nchi zipatazo 54 (kwa Mujibu wa Takwimu za umoja wa mataifa) (Takwimu hizi ni kutokana na WORLDOMETER za 06/02/2021 saa nne usiku) Israel 3. Israel ina watu 8,735,512 na ukubwa wa 21,640 km2 Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro Kwa maombi na ushauri: Mch. Dkt. Eliona Kimaro. Simu :+255655516053, +255754516053 YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

Category

Show more

Comments - 32