Duration 9:18

Diva awacharua BASATA, Awapa somo zito la kukuza muziki

18 554 watched
0
179
Published 23 Mar 2018

Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, Diva The Bawse ameshangazwa na baadhi ya maamuzi yanayotolewa na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) dhidi ya wasanii wa muziki ambao nyimbo zao zinakiuka maadili ya mtanzania.

Category

Show more

Comments - 90