Duration 7:59

'MUME WA MTU BWANA YETU | USIOMBE MUMEO AKUTANE NA AKINA DADA HAWA

5 515 watched
0
43
Published 25 Feb 2020

Kudanga imekuwa sio story tena uswahilini, kwani watu wameshaigeuza kuwa biashara wanayoitegemea kusukuma maisha yao ya kila siku. Mgundini leo Kamshange ametukutanisha na kikundi kinajiita 'MUME WAKO BWANA YETU' kutoka Mbagala Kizuiani, wasikilize wadada hawa.

Category

Show more

Comments - 40