Duration 11:44

MWALIMU ANAYEFUNDISHA KWA KUCHEZA, KIBOKO YA WATORO, ASIMULIA MAGUMU ALIYOPITIA “NILIBAKI YATIMA”

258 543 watched
0
1.5 K
Published 25 Jun 2021

Mwalimu yusuph pangoma ni mmoja ya walimu waliopata umaarufu nchini kwa mfumo wake wa kufundisha wanafunzi wake akiwa anacheza mziki na michezo mbali lakini mda huohuo akiwafundisha wanafunzi hao na kuelewa vizuri. AyoTV imempata mwalimu huyo akiwa likizo wilaya ya temeke akifundisha shule ya msingi mbagala kuu kwa kujitolea kuwanoa wanafunzi wa darasa la saba masomo ya sayansi licha yeye kuwa mwajiliwa katika shule ya msingi wilaya ya serengeti mkoa wa Mara,

Category

Show more

Comments - 482