Duration 18:28

WATALII WAZIDI KUMIMINIKA TANZANIA / MAANDALIZI MAONESHO YA UTALII KIMATAIFA KUFANYIKA JUNI MWANZA

271 watched
0
2
Published 5 Mar 2020

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamis Kigwangalla, amesema wizara hiyo kwa mwaka 2018 pekee imepokea watalii milioni 1.5 walioingia na kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo nchini ikiwemo mbuga za wanyama. Kauli hiyo ameitoa wakati wa uzinduzi wa maandalizi wa maonesho ya kimataifa ya Utalii kwenye Kanda ya maziwa makuu yanayotarajiwa kufanyika jijini Mwanza kuanzia Juni 19 hadi 21 mwaka huu.

Category

Show more

Comments - 0