Duration 39:54

LIVE: WAKILI MKUU AZUNGUMZIA Walivyoshinda MAHAKAMA YA RUFAA Dhidi ya DHAMANA Kwa MAKOSA MAKUBWA

26 363 watched
0
102
Published 6 Aug 2020

🔴#LIVE: WAKILI MKUU AZUNGUMZIA Walivyoshinda MAHAKAMA YA RUFAA Dhidi ya DHAMANA Kwa MAKOSA MAKUBWA Wakili Mkuu wa Serikali, Bwana Gabriel Malata, amezungumza na wanahabari na kufafanua kuhusu hoja walizotumia na kushinda kesi Mahakama ya Rufaa dhidi ya wakili wa kujitegemea Bwana Dickson Paulo Sanga aliyeshinda kesi Mahakama Kuu ya Tanzania akitaka watuhumiwa wa makosa ya uhujumu uchumi, mauaji na ubakaji, nao wawe wanapewa dhamana kwani ni haki yao kikatiba. Amesema kwa kuzingatia hayo, Mahakama ya Rufaa imefuta hukumu ya Mahakama Kuu na kueleza kuwa Kifungu cha 148 (5) (a) (i), (ii), (iii), (b), (c), (d) na (e) Sheria ya Mwenendo wa Jinai Sura ya 20 ya Sheria za Tanzania hakikinzani na Ibara ya 13 (3) na 15(1) na (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania badala yake kinalenga katika kuwezesha utekelezaji mzuri wa Ibara ya 30 (2) inayolenga katika kuhakiksha kwamba haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma haviathiriwi na matumizi mabaya ya uhuru na haki za watu binafsi na pia kuhakikisha ulinzi, usalama wa jamii, amani katika jamii, maadili ya jamii, afya ya jamii na utekelezaji mzuri wa mipango ya maendeleo ya jamii. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 15