Duration 15:58

Namna ya Kuomba kujiunga na course mbalimbali-Diploma, Kupitia NACTE

9 383 watched
0
36
Published 28 Aug 2019

StudentExperiencePoint ni mtandao wa wanafunzi, wenye lengo la kusmbaza Uzoefu wao kwa wanafunzi wengine hasa wale Wanaojiunga na shule au vyuo kwa mara ya kwanza. Tutakuambia jinsi tulifanya/kwanini tulifanikiwa au kutofanikiwa alafu tutakushauri ufanye nini kwa mazingira yako, maana kitu unachofanya wewe wenda kiliwahi kufanywa na mtu mwingine. Kama umependa video hii subscribe na comment kuunga mkono. links Kuuliza wanafunzi wengine, experiencepoint1.wordpress.com NACTE online application. http://41.93.40.138:8080/noavs/Register.jsp

Category

Show more

Comments - 4