Comments - 88
  • @
    @ericklucas71963 years ago Iyo sio Kodi ni tozo haipo kwenye kodi
  • @
    @annakaijage2933 years ago Tutakaposhindwa kutoa sadaka utaishi vp 5
  • @
    @ramadhanimtetu72463 years ago Huyu Mtumishi ninamuelewaga sana
    Licha mimi c Mkristo
    Anaongeaga fact tu
  • @
    @godfreymbuya26593 years ago Huyu kiburi kitamponza.Eti anamjua Mungu kuliko MTU ye yote.akitoka hapo anaenda kupata ya bariiiiidi. Na hao wanaojitoa kwenye ujenzi wasemeje.toka uwekewe lami,kila MTU unamponda 2
  • @
    @simonzakaria47703 years ago Wanyang'anyi wamekushika masikio sasa umeamua kuwapigia debe
  • @
    @mpelienock3 years ago Mtumishi wasemee watu , tozo kubwa serikali ina vyanzo vingi vya mapato, wapunguze tozo za miamala ya simu wanaumiza wananchi, kodi ikiwa kubwa inapunguza furaha ya wananchi kodi inagusa maisha ya wananchi moja kwa moja, inakula jasho la mtu.
    Kodi iwe nafuu mzee wa upako hapa rekebisha wazungumzie wananchi Mungu ni wa huruma "heri sikio linalosikia laumu"
    ...
  • @
    @geraldluiso67923 years ago Sawa mzee waupako waongezee sadaka kodi ya sadaka ikatwe pia
  • @
    @mosesembughi42843 years ago Au nikueleweshe vizuri usie kuwa mzimu.ww halo una mwili na mzim .ukifa mwili unakufa unakuwa udongo spirit ambayo ni roho ya uzima au mzim.huyo spirit Haiti ndio inakuwa hai mpaka siku ya hukum mungu atafufu wafu na ule mzim utaunganika tena na mwili wako kwa uweza wa mungu.sio kwa nguvu zako we we.amina ... 1
  • @
    @samwelsanga53393 years ago This is Africa lazima utoe zaka na fungu la 10 🤣🤣 1
  • @
    @hassanrashid81823 years ago Mzimu wa John wapi na wapi madhabahuni
  • @
    @veronikamkuwele90723 years ago Unakula sadaka hata hujui uchungu wowote
  • @
    @KADALAtv2553 years ago Huyu naye akili zake zimehama tusiogope nini sasa watu wanakatwa pesa za Ada. Wachukue za kwako. Mpumbavu mwenyewe alah! 2
  • @
    @LucasLucas-sj6fg3 years ago Ameinuka Farao mwingine asiyemjua Yusufu.......🤫🤫 1
  • @
    @ntandumathayo32573 years ago Sikuhiz kwenda kanisani pia kunakukutana na shetani pia
  • @
    @josephatmathayo23553 years ago Yote umeongea sawa, Ila mzimu ndo nn Tena mtumishi wa mungu!!! 1
  • @
    @evangelist_gaitani3 years ago Muyaonapo Mambo hayo yanatokea tambueni kua yesu yupo mlangoni
    Mtawatambua kwa matunda yao tunafika mpaka kwenye mzim sasa
  • @
    @magrethmwakifuna97923 years ago Mzimu tena jamani.Sisi tunaolicha jina la Bwana hatuamini katika mizimu maana mizimu ni nguvu za shetani.
  • @
    @bensonjr48793 years ago Hakuna kiongozi wa Dini hapa! Fake one 1
  • @
    @enockfumbuka68433 years ago HII MAMBO YA SIMU BORA KUACHANA NAZO TUONE WATACHUKUA KODI WAPI.BIA NA SIGARA HAKUNA TOZO.WATU WAKALIE ULEVI NA UVUTAJI NA WAZUNGU WANUFAIKE ! 1
  • @
    @secretariatrsat4513 years ago Nawashangaa waamini wanaomsikilza huyu anayejiita mzee wa upako..! Eti Mungu amajua yy kuliko mtu mwingine yeyote,jamani huyu si nabii wa uongo kweli au..?! 1
  • @
    @waytvtz25493 years ago Kwakuwa unaletewa tu mzee ni sawa lakin kwa uhalisia wa maisha si Kama unavyofikiri
  • @
    @brightonsospeter51003 years ago Sadaka zimekulewesha kenge wewe hivi hujui kuna watu hapa nchini hata kula yao shida wako mbali na makazi yao hicho kigo wanacho pata wana gawana na familia zao kwa tumia hizo huduma za cm halafu unalefusha mdomo kodi iongezwe ama kweri nimekubali unamizim sio mungu mwenyewe kuhulumia watu wake YESU alisema watakuja na manabii wauongo ...
  • @
    @paulandrew73013 years ago Kuna njia nyingi serikali inaweza kutumia kupata kodi kama vile katika sekta ya madini zaidi ya kutegemea kuwanyonya wananchi wanyonge kupitia miamala ya simu, naomba wakae chini watafakari upya kwani swala hili linaumiza sana wananchi hasa wale wenye kipato cha chini ...
  • @
    @mosesembughi42843 years ago Ww usielewa .mzim ni rohoho ya spirit.soma biblia utaelewa.
  • @
    @mbenamdudu78563 years ago Lakini maneno yake Yana ukweli kabisa sio ya kuyaacha
  • @
    @benjaminmwaipungu5943 years ago Aliyeokoka anaamini mizimu? Na kampuni yako inakupigia makofi. Afadhali mtoto wa chekechea apewe madhabahu hiyo. Maana nawahurumia sana wengine na elimu zenu hamstahili kusikiliza ujinga huo 2
  • @
    @trillhappybeautypoint98743 years ago Ishu ni kwamba kodi tutoe na maendeleo tuyaone sio kila siku hakuna maendeleo hospital hakuna dawa hapana
  • @
    @championgm93113 years ago Mmm hatari dunia ya mwisho hii mchungaji gani huyu jamani baada ya kuhubiri mambo ya mungu ehhh
  • @
    @uzimameditv81483 years ago Msithani nyie watumishi mtasalimika, mnaounga mkono ukandamizaji, kwasababu na ninyi ndio shuguli yenu makanisani, je ? Magufuli angekuwepo hayo yangefanyika?.
  • @
    @haarunsaidabdillahi40823 years ago Huyu tajiri sana hiyo msamaha yeye halipi ni pesa zenu za kanisa.
  • @
    @joshuamkunda19813 years ago Mchungaji napendaga sana wimbo wako wa UMBER YAWE naulikuwa unanibariki sana mbona sikuelewi tena kulikoni tena mambi ya serikal unayaleta mazabahuni
  • @
    @joyelia53563 years ago toenii sadaka africa upumbavu nani awajengee barabara ntamuamba mizimu,😂😂
  • @
    @barnabasdidas91613 years ago Huna upako wowte ni utapele Wa injili ,Watu wangu wekeni maarifa vinginevyo mtaangamia biblia inasema,Hoseah 4:6 kama sijakosea 1
  • @
    @thomaskiponda97043 years ago Koment zinaonyesha watu wamegundua kuwa mzee wa upako sio kabisa . Eti huyu aliwahi kusema eti amani kwanza haki baadae. Wakati watu wanaonewa wanadai haki.
  • @
    @ssalimsalim38643 years ago Lazima ushabikie maana na wewe unazipiga sana hela za michango ya kanisa.kuanzia leo hatutoi tena michango tuone km utakuja kupiga kelele.
  • @
    @pvkanyorota2643 years ago Hela za madini yetu zilizotarajiwa kutumika nazo ziende wapi km hizi za miamala zinaebda barabarani sio sw Bhana.
  • @
    @hasamjebe46853 years ago Vya wa jinga uliwa na wajinga wewe una wabana ao sadaka wamekutajirisha ao kondoo zako Leo unasapot ujinga ,duh pole sana ,kama wana chukua kodi zetu sasa mbona hospitalini tunalioa atutibiwi Bure ???/sukodi zetu , sasa vi hakuna wachungaji kuna mafreemaon wakubwa ,ovyooo sana ...
  • @
    @lightnessmosi73273 years ago Hatukuelew Kwan miaka ya nyuma maendeleo yaliletwa na nini hamna kitu hapo unaongea 2
  • @
    @christophertarimo50473 years ago Kumbe na wewe ni walewale.....unasapoti upuuzi wakati nchi maskini hii..barabara inatusaidia nini
  • @
    @shafiijafari36803 years ago Ww mchungaji mchinga tuuu ata uelewa hauna mzim wajoni ndy nini kicha angekua namzim siungemziwia asife ww kaa kimya hauna mahubiri niaibu kusema maneno hayooo kanisani baibo inamaneno mazuri hubili yanayo faaaa kanisani kama imekutoka biblia kichwani kaaa kwako utabaki naheshima kuliko ujinga Hugo ...
  • @
    @jimmysichalwe35863 years ago Mtumishi hata kifo kina sababu,wakiongeza utalipa wewe we si unatumia sadaka na mahubiri yako ya kibabe
  • @
    @pirminmatumizi54643 years ago "Ukitaka mzimu wa Magufuli uwabariki"
    Aala, kumbe mizimu inabariki!
    Mtumishi wa Mungu unakuwa na kauli hizo?
  • @
    @benswai80993 years ago Kweli waafrika ni wapumbavu na wajinga kama usemavyo ndio maana wanakuletea sadaka za buuure kabisa. Woooooi, hakika wajinga ndio waliwao.
  • @
    @chalesallen85823 years ago Huna Lolote wewe mlevi wa sadaka na pombe unaanza kujipendekeza tena kwa serkali ya samia 2
  • @
    @esautimotheomashausi76903 years ago Mungu akusaidie mtumishi maana ukiongea jina magufuli kwangu mm nisawa na kutaja jina la yesu 😭😭😭😭😭😭😭😭 3
  • @
    @simongalahenga68583 years ago Tangu zaman usimamizi wa fedha za nchi hii ni shida san? Jpm amekufa siku chache tu wizara ya fedha matumjz ya
    Ovy
    I