Duration 2:2:41

MIKUTANO YA MAPAMBANO HADI USHINDI: SIKU YA 2

99 watched
0
1
Published 8 Nov 2020

Subscribe Channel ya Mkutano: /channel/UCQd2H0a3G8iFLDtlDJdZxJA Karibu kutazama mkutano mkubwa wa MAPAMBANO HADI USHINDI LIVE. Muda ni kuanzia saa 11:40 jioni hadi 2:00 usiku. Kutakuwa na semina na mahubiri yanayohusu; 1. Familia-Mchungaji Stephen Letta Namna ya kushinda mapambano familia na mahusiano. Utajifunza namna ya kushinda migogoro na kuleta furaha nyumbani. 2. Darubini ya Imani-Mch Brian Abdallah Namna ya kushinda pambano la kiimani. Tutajielimisha asili ya dini ya Kiislamu na Kiislamu na mamna ambavyo dini hizi mbili zina asili ya baba mmoja ambaye ni Abraham au Ibrahimu. 3. Pambano KUU. Kufahamu namna ya kushinda pambano kuu kati ya nguvu za Mungu na Ibilisi katika nyanja za ajira, kazi, elimu, na magonjwa. Neno kuu la Mkutano: "Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda". Warumi 8: 37 Mawasiliano: 0684093174

Category

Show more

Comments - 0