Duration 2:8

Shamimu Mwasha na mumewe Abdul Nsembo wahukumiwa kifungo cha maisha JELA

23 416 watched
0
265
Published 31 Mar 2021

MAHAKAMA Kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi na Makosa ya Rushwa, maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, imemhukumu blogger Shamimu Mwasha (41), na mume wake Abdul Issa Nsembo, (45) kutumikia kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine

Category

Show more

Comments - 138
  • @
    @maryamumapenzi12573 years ago Mungu wangu niepushe natamaa za duniani. 1
  • @
    @mariamibrahim31623 years ago Niatari tams iyi mungu nisaidiy mm na mumewangu tukule bidogo tulale mapema.
  • @
    @dorislema18143 years ago Wamekosea sana tena sana kuaribu vijana wakitanzanai kuwafanya machiz lakin wasamehewe tu jaman nawaache iyo tabia.
  • @
    @dorcaskidoti2493 years ago Ngoja niendelee kuosha vyombo warabuni na kusugua masiki.
  • @
    @ashminaabdullah70493 years ago Hivi kweli km kweli hili jambo alafu tunakuoneni na kukuiteni wanawake wa shoka inauma allah akupeni subira na familia yote.
  • @
    @florencebudoya38143 years ago Uhuru ni utajiri tosha. Tamaa ya kuitwa dons kumewaponza. 2
  • @
    @munirashughuli72243 years ago Iwe funzo kwa wengine wametuwaribia vijana wetu hawa wauzaji unga wallah. 12
  • @
    @user-ot2io4cy6w3 years ago Masikini dah.
    inauma sana ila ndio sheria imeshaamua hivyo.
    2
  • @
    @kreamagdfsa16973 years ago Subhana allah tustiri waja wako tuache tamaa kama unawatoto ushawapa mtihan wallah. 2
  • @
    @vanessalaizer43633 years ago Mamaa wee sasa watoto wao vipi mwee thats a tragedy hasa kwa uyo dada. 5
  • @
    @anicyaedward56053 years ago Bora niwe maskn mm da adhabu kwa watoto. 10
  • @
    @khayriyamussa43233 years ago Wakamatwe wte wanaoleta na kuhisika nauwezekano wakudhibitika usiingie upo lkn kwanini ishindikane? Inamana kuna watu wandani wanaohusika kuleta. Allah atulinde nahaya majanga.
  • @
    @happynelson58563 years ago H
    nyie mnaosema wahurumiwe sababu wana watoto kwani wenyewe walikuwa hawajui kuwa wana watoto wakati wanafanya biashara hiyo ina maana mtataka . ...Expand 4
  • @
    @ibrahimnadir44903 years ago Dah naskitika nachukia wauza unga lakin najiuliza vipi yule aloiba bilioni karibu 4 mbona hafungwi.
  • @
    @michelinemapendo66523 years ago Angalikuwa ulaya wazunguwatoto milele polendugu. 1
  • @
    @agnessmsacky66573 years ago Mahakama angalieni watoto mali hizo wapeni watoto tambueni nanyie mnawatoto mungu halali leo kwahao watoto mali mnazitaifisha kesho kwa watoto wenu mungu . ...Expand 1
  • @
    @chantalmulasi56633 years ago Apandacho mtu ndi cho ana cho kivuna pole sana.
  • @
    @neemayatosha16183 years ago Jamani, jamani kama ni kufungwa maisha basi wakamatwe wote ni wengi mno. Sheria isiwe kwa baadhi ya watu, mtandao huo ni mkubwa mno. Dah!
    shamimu . ...Expand 3
  • @
    @thiamdjamila94273 years ago Na wakome tama ya maisha imewaponza nyiye munasema maskini watoto wawo alafu mateja awana wazazi wa kuwaliliya ulicho panda ndicho utavuna machozi ya wazazi wamateja yamewaludiya mungu mukubwa nimefurai.
  • @
    @deodadeo20164 months ago 40 ikikufkia hata ukikata rufaa kiuchumi utayumba tu, kwa kesi kama izi.
  • @
    @jumahaji29383 years ago Ni nzuri iyoo ukumu lakini wangeukumiwa kifo ingekuwa nzuri zaid upande wangu lakini.
  • @
    @jsbddhnxjdhhdhd14933 years ago Acha niwe mfanya kazi wa ndani tu wa warabu kuriko utajilo huu. 4
  • @
    @salmaathuman91563 years ago Aisee tuache tamaa jaman tafuta kwa jasho lako kuliko utajili wa haraka matokea yako unazekea jela na kuacha watoto wako wanahaangaika acha nibaki masikini niishi kwa furaha na pia mambo ya kumpendeza mungu. 2
  • @
    @KaskasTHEfinderCLIP3 years ago Hakimu hta roho ya uhuruma auna kweli, duu muogope allah, kesho tuna hukumiwa wote kaburini. 3
  • @
    @theceefamily77643 years ago Poleni sana hata pia kwa watoto wao, marafiki na familia kwa jumla. 1
  • @
    @kreamagdfsa16973 years ago Kwa kweli biashara nyengine wala sio za kufanya malipo hapa duniani munateketeza taifa hasa vijana kwa maslahi yenu binafsi vijana wanazungumza kama bun' go . ...Expand 2
  • @
    @zmaal77023 years ago Watoto watapata wasamaria wema wa kuwalea kuliko kulelewa na wazazi km hawa. Kwn ni adui wa taifa la kesho.
  • @
    @othmanjuma96113 years ago Tatizo kutaka maisha ya haraka hyo ndio faida yake.
  • @
    @anahna67883 years ago Dada mzuri lakini anapenda dhambi
    kuna dhambi unaweza kujikwaa ukafanya lakini siyo za kuuza madawa ya kulevya kuuwa kuiba kuingiliana kinyume kudhurumu
    na nyingine nyingi
    ukizifanya hizo ujue tu wewe unahatalisha maisha yako kama siyo kuyaharibu kabisa
    .
    ...Expand
    2
  • @
    @RandB_Channel3 years ago Jamani siyooo huruma miye jamani wana watoto wadogo.
  • @
    @adelinalubeleje41103 years ago Sasa mali zikitaifishwa watoto watasomaje.
  • @
    @kreamagdfsa16973 years ago Na huna hata cha kuwaachia watoto mali zote ndio za serekali sasa kuna faida gani hapo. 2
  • @
    @zabibunduwimana46123 years ago Esma asingemuhacha musizwa yangemukuta.
  • @
    @ivaniavianarodrigo72013 years ago Hiki kifungo kina visasi ndani yake, sio haki gramu 200, ndo kumuhukumu maisha? 2
  • @
    @adolphmwangoje28873 years ago Kesi hizo co kifungo cha maisha kunakingine chini ya kapeti jmn co bure vijna wanakula ngada huko kijinga kwa nini wasikamatwe mateja wote msiwape unga cku tano uone kma hawatataja wanakotoa nakuludi haliyao.
  • @
    @jimboulaya3 years ago Gram 232 wanafungwa maisha na kutaifishwa? Na vipi watoto wao? Hii hukumu ni kama kukomoa, hailingani na kosa na haijaangalia maslahi ya watoto, huyo jaji . ...Expand
  • @
    @aliaalooya38963 years ago Jmn sibora wangechukua azo mali kuliko kifungo chamaisha. 1
  • @
    @ashuraussein75823 years ago Jamani wapunguze ukumu akuna binadamu alio kamilika pumbavu zenuwatoto watalelewaje. 2
  • @
    @zaitunisinamenye17993 years ago Basi wafungwe maisha wengi tu, serkal haiwaziaaciwe hana kosa lolote akaleye watoto.