Duration 12:9

Naomba Kwako Bibiye - Ikhwani Safaa Musical Club (Singer: Maulidi Mohamed “Machaprala”. 1980s

2 410 watched
0
12
Published 1 Aug 2021

- NAOMBA KWAKO BIBIYE Words and music: Ali Salim Basalama Singer: Maulidi Mohamed Machaprala Lyrics: Mwenzangu nakuuliza .. Nini umekusudia Na mbona unanitaka .. Naona naniringia Njia zote nimemaliza .. Bado wewe wakataa Kitanzi umenitia .. Ili ni kunitundika Namimi nimeridhia .. Nimeridhi kuteseka Natapa nnaumia .. Bado wewe wanicheka Na kamba umeikaza .. Pumzi zimenikaa Macho yanaona kiza .. Na sasa nishapumbaa Nimebaki kujikaza .. Nangoja dakika na saa sichoki kukuuliza … Bado wewe wakataa Wanambia ngoja kwanza … Namisikati tamaa Au hii ndio jaza … Apendae huwa jaa - Taqsim on Qanun - Umenionjesha .. Raha ya mtu anaependa Na mara ukanirusha .. Nakunifanyia ida Nakuombaa sawaziasha .. Mwenzio m'nakupenda

Category

Show more

Comments - 5