Duration 17:59

KIJANA HUYU AFARIKI KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA/MAMA ASIMULIA KWA UCHUNGU/WALIMPIGA SANAA

77 002 watched
0
602
Published 17 Sep 2020

Kutoka Mbezi beach ndipo tukio hili limetokea ambapo kijana huyu anayetambulika kama Steven amefariki lakini kufariki kwake kumeleta utata.Mama mzazi wa Steven anasema alifwata na Kaka wa jirani na kumtaarifu kuwa amemkamata kijana wake yupo nae ndani kwa kua ni mwizi lakini kwa kuwa ni majirani atamleta wayaongee amuombe msamaha yaishe.Mama anasema Kaka huyo alikuwa anaalama za damu kwenye nguo zake na alipomuuliza kuhusu damu kaka aloshtuka na kusema hakuna kitukisha akaondoka na badae alirudi tena akiwa amebadilisha nguo lakini hakurudi na mtoto wake...! Fwatilia tukio hili upate kujua kilichotokea hadi kupata taarufa kwamba Mtoto wake amefariki #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Category

Show more

Comments - 610