Duration 6:52

NAPASUA JIPU Kuna Mambo Hata Shetani Anajifunza Kwa Binadamu

35 367 watched
0
426
Published 16 Apr 2019

NAPASUA JIPU! Kuna Mambo Hata Shetani Anajifunza Kwa Binadamu! Kuna jambo baya mno limetokea kwenye jamii yetu ya Watanzania. Najaribu kulifanyia tafakuri kuntu sipati jibu la harakaharaka. Najiuliza,hivi ni kweli jamii ya watanzania tuliosifika kwa kuwa na upendo wa dhati na hofu ya Mungu tumefikia hatua hii? Upo wapi ule upendo wetu wa mwanzo? Katika umri wangu huu nimepata kusikia matukio mengi ya ukatili, unyama na roho mbaya. #NAPASUAJIPU #ERICSHIGONGO /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 40