Duration 4:32

SABABU YA BEN POL KUBADILI DINI KUWA MUISLAM / UTATA MKUBWA KWENYE NDOA YAKE

43 337 watched
0
577
Published 24 Oct 2020

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺 𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴 𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻 𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻 𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ: 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Category

Show more

Comments - 367
  • @
    @khamisshaaban45994 years ago Allah akuongoze ucjeukarudi tena kwenye giza la dhulma amin. 1
  • @
    @abbasmohamed50664 years ago Mashaallah! Wallahuislam ndg allah akuongoze katika dini ya haki inshaallah! 7
  • @
    @salumkassim79494 years ago Karibu sana ktk uislam ndugu yangu mungu akufanyie wepec. 2
  • @
    @fetychina32734 years ago Mungu azidi kukutia imani nakuongoze kwenye kutenda mema na kujaalie mafanikio kwa kila kitu unacho. 23
  • @
    @bitumujuma53834 years ago Mashaallah tabarakaallah brother krb katika dini ya haki. 2
  • @
    @salummakame50864 years ago Allah akupe moyo wa subra na uvumilivu na uzidi kuijenga iman ya kiislamu amin. 17
  • @
    @twahasaidi38194 years ago Mashaallah allah huzindua amtakaye karibu ujali chochote.
  • @
    @simulizizetu25894 years ago Itakapokuja nusra ya mwenyezimungu na ushindi, na ukawaona watu wanaingia katika dini ya m/mungu makundi kwa makundi, zitakase sifa za mola wako mlezi na . ...Expand 13
  • @
    @fatmahamisi73694 years ago Maa shaa allah akuongoze ktk subra na uvumilivu ktk hiki kipindi cha watu wanaokusema vibaya uzidishe imani zaidi mwamini allah atakuonvoza utashinda yote . ...Expand 1
  • @
    @mwahijaismaily5384 years ago Mashallah karibu kwenye dini ya kiislam. 22
  • @
    @aishajimmy44854 years ago Mashaallah dini ya haki ni islamic hongera saan kaka. 1
  • @
    @ezekielimtunguja36464 years ago Ila lusekelo, mungu aliemtoa kristo mwanae kwa ajili ya wanadamu anakuona, wewe kama balozi wakupongeza uasi dhidi ya neno la mungu maana hakuna dhambi kubwa kama kumkataa kristo asiwe bwana wako, heri ungekaa kimya kuliko kushiriki kumkana yesu hadharani. ...Expand 7
  • @
    @hamzampojora92844 years ago Maasha ashah mungu kwa kukuonyesha njia ya pepon. 1
  • @
    @mrcembo74734 years ago Amani kwako brother tuko pamoja sana allah akupe taufiki kwakuweza kuitambua khaki. 1
  • @
    @hajitunguuni12984 years ago Maashaallah uislamu si jina wala si kanzu nzuri siku hizi, uislamu ni kufuata yote aliyoamrisha na kuacha yote aliyokataza allah (sw) na muhamma(s. A. W) wake pia kuamini kuwa kuna pepo na moto baada ya malipo akhera.
  • @
    @hashtagdarling47384 years ago Masha allah, mungu amuongoze ndugietu kwa kujiunga katika dini ya kiislam na aampe imani zaidi.
  • @
    @firdausgreen13914 years ago Maa shaa allah. Ila usijaribu kuritadi maana itakugharimu maisha ya dunia mpaka kesho na adhabu ya allah ni kali. 1
  • @
    @marhaban20124 years ago Welcome brother may allah guide alla of us! 12
  • @
    @ahmedbng73604 years ago mashaallah akuongoza ktk njia iliyonyooka inshaaallah 1
  • @
    @shaban66444 years ago Maash allah, allah akbar. Now he is like new born. Karbu katka uislam kaka. 44
  • @
    @tuwajafar56874 years ago Uislam mzuri bwana. Unaraha sana. Hongera bernham.
  • @
    @mwazanmwazan7664 years ago Mashallah mungu akupe afya njema uwe mungono wa ibada moja apoo. 1
  • @
    @saidasaid14764 years ago Mwenyezi mungu akuzidishie inshallah kalibu sana katika imani.
  • @
    @chibudyside56174 years ago Mungu akufanyie wepesi katika safari yko. 1
  • @
    @rayarawdha37534 years ago Alhamdullillah allah akuongoze kwenye dini ya haki. 2
  • @
    @omarkomwa57184 years ago Karibu ndugiangu kwenye dini ya haki na mungu akuongoze kwanjia ilio nyooka amin.
  • @
    @sulaymanmohd15634 years ago Allah akbar. Karib kaka na allah akujaalie imaan thaabit. 1
  • @
    @arafataman88914 years ago Mashaallah karibu katika dini ya haki mbele ya allah. 1
  • @
    @samuraimuslim11774 years ago Masha allah
    asalamu aleykum from tajikistan iran afghanistan.
  • @
    @dullatembo83024 years ago Allah akubarik karbu kwenye dini ya hakki.
  • @
    @rahmssalum31634 years ago Mashallah allah akuongoze njia ya haki inshaallah.
  • @
    @saidiuchebe52034 years ago Amepiga atua nyengine ktk maisha yake ila shida inakuwaga kwenye uvumilivu coz yatakuja mengi ktk siku za usoni kwaiyo akiweza vumilia ndo salama yake, allah supreme. 1
  • @
    @twahasaidi38194 years ago From kenya nairobi kijana allah anasema na mwenye akili atafuwata bc uwasomee aya zetu wasije wakasema ni similizi za watu wa kale wape ushahidi waelewe mm ni mzaliwa wa chemba dodoma hususa ndugu yangu ben por.
  • @
    @pinkygrey34594 years ago Mungu ni yuleyule na imani ya mtu ndio itampeleka peponi.
  • @
    @sarahabdulatif73914 years ago Mungu wenu alismpa utume muhamad kamtuwa kwawatu mazezeta kwaiyo ukijiona bado unaganda marehemu mudi wew ni zezeta.
  • @
    @thomasvenance51864 years ago Hizo project wanazianda ukute nyimbo anaianda. 1
  • @
    @luqmanmohamedy38604 years ago Iwapo ndoa bado ipo ndoa hio hukubalika kuendelea nayo according to uislamu.
  • @
    @esterkimath12144 years ago Imani yako ndio itakayo kuponya na kubadili dini sio suruhisho.
  • @
    @hamadinyawe18164 years ago Sababu hakuna mahali kwa bible jina ukiristo.
  • @
    @peacemakune9114 years ago Ulikua ndo namba 1 kwangu bongo kwa wasanii wa kiume, now siupendi tena.
  • @
    @samakisamaki32264 years ago Anatafuta sababu ya kuitema ndoa yake. Subirini mtashuhudia.
  • @
    @mrsnam68974 years ago Nilikua namuona mbali sana ben pol kiimani, alifanania kua muslim muda mrefu sana. 2
  • @
    @isaachayes97834 years ago Duh! Kaona huko ndo njia sahihi haina tabu twamtakia kila la kheri na imani yake mpya,
  • @
    @aishawakat21434 years ago Karibu katka din ya kiislam, ukumbukendoa yako na hurusiwi kushiriki naye tendo hadi na yy abadili dini.
  • @
    @emmadora78484 years ago Shida ni moja tu mnahamia kwenye Dini Fulani sio kwamba mmeipenda au mmeielewa ila huwa kuna vitu mnavifuata kama sio wanawake basi hii ni hatari 1
  • @
    @yussufabdul-rahman56014 years ago Nyie ata akili hamna, ameamua ivo kwakua ameshajua nn haki nn batili. 3
  • @
    @rahjah58824 years ago Jina si tatizo kabisa anaweza kuendelea kutumia majima yake;
  • @
    @alriyamy6134 years ago Dini cio, jina lolote halina ttzo ktk uislam muhim uchaji wko(the way of conducting yr ibaadat) 3
  • @
    @ellbenzema53584 years ago Jina la kisanii hawez kubadili kwakua ben ipo kwa bernard na benham na paul ni lababa ake kwaiyo hapo hakuna utata.
  • @
    @teddygabriel56624 years ago Kila kukicha nafuu ya jana
    huko ni kukosa msimamo.
    3
  • @
    @johnmatiko25964 years ago Jesus christ is coming soon
    mwenye kujitakasa azidi kujitakasa na mwenye kujichafua na azidi kujichafua huko nje wapo mbwa, na waabudu masanamu.
    8
  • @
    @fuadabdalla70974 years ago Gombana nini mbona hauko positive wewe je kama na mke pia ame slimu wajuaje.
  • @
    @godsonndamgoba19344 years ago Acheni wizi, c mmeandika sababu mbonauchwala.
  • @
    @saimonsanga45104 years ago Bernadmembe, benpaul awa wakina beenwana nyota ya kuhama xanaa. 3
  • @
    @yussufabdul-rahman56014 years ago Nyie wasafi mikafiri tu eti utarajie aimbe doh, mntka apotoke km boss wenu mie namuombea dua acjingize tena ktk mzki mna mzki ni sauti ya shetani ktk uwislamu tunafahmu ivo.
  • @
    @eddonyihande63654 years ago Nazani ni kiki tu hiyo, new hit coming soon.
  • @
    @abdunewton63764 years ago Kalib baba sisi 2natok ww unaingia akik kilam2 ana chaguo lake. 3
  • @
    @nicoemmanuel91164 years ago Mwachen atest mitambo na huko yakimshinda atarudi aliko toka tuu. 6
  • @
    @darposttv26473 years ago Huo ni mwanzo wa kupangawa wewe ni sawa na chuchu tu.
  • @
    @gordiansoko91134 years ago Usajili tata kama wa " bernard morrison" 3
  • @
    @eliofootz65194 years ago Kama mtu aliweza kupakwa mafuta akiwa uchi kwanini asiweze kubadili dini yake? 4
  • @
    @martinfrancis98084 years ago Kashafail. Mapenzi yanamchanganya anaacha kufanya kazi. Kapata demu mwenye hela anapenda kulelewa hakuna cha zaidi. 8
  • @
    @mikarospius80844 years ago Kama umebadrisha dini kwa sababu ya mwanamke umepotea sana. 1
  • @
    @emmanuelyraphaely33434 years ago Iyo kiki soon anaachia nyimbo yan wasanii wabongo kwa kiki mpo vzr sana. 2
  • @
    @charleskaozya99244 years ago Mungu wetu ni mmoja tu ila jamaa aache kupendaa vitongaa stress zitamuuaa.
  • @
    @dominicanton20644 years ago Mwana ume unakuaje dhaifu ivo unabadili din kisa mwana mke du nn huna? Haya kesho mme achana una badili tena yan ingekua kwa mapenz yako asawa dem eti tuu ana pesa broo apo hauja fikil aisee. 1
  • @
    @josephvenus32594 years ago Hatuta shangaa sana ila ajue jesus christ is a king! 5
  • @
    @kareemalamoody63454 years ago Wasafi ni fake kuamini wachawi ni washirikina.
  • @
    @ezekielimtunguja36464 years ago Ben ni kondoo aliepotea, na kaamua kutokomea zaidi ili asipatikane kabisa! Mungu wa mbinguni akusaidie ben uione njia ya wokovu wa roho yako na sio dini.
  • @
    @sarahabdulatif73914 years ago Mimi huwa nacheka sana mtu. Akibadili dinmana siajabu hata najini nao kila siku wanasilimu nakuwa waisilamu jini asilimu namwanadamu umakili zako nawe unakuwa sawa najini unasilimu halafu waisilamu wote nindugu kwahiyo unakuwa nindugu pamoja namajini njooni kwa yesu ndio mana waisilamu akila hawana baada kuja kwa yesu alie hai wakaokolewa wanamfuata muhamad alie kufa yaan akili za nasar ukimuona mtu anasilimu nijini naukimuona mtu nimuisilamu nijini mana ndio dini yao ndio mana ukisoma kuruani mungu alimpa utume muhamad kamtuma kwawasiojuwa kusoma nakuandika lakini tunashangaa watu wanashahada za vyuo lakin mtume wao nimuhamad sababu shetani amewateka fikra zao. ...Expand
  • @
    @ernestmbwana62824 years ago If he looks for arab girl trust me hataoa muarabu they are racist kichizi.
  • @
    @bulugubujashi63784 years ago Kwa mgogo kubadili dini nikawaida sana.
  • @
    @rubensamson86814 years ago Kila mtu na maamuzi yake japo kwa wasanii huwa miyeyusho sana hawachelewagi kurudi waliko toka. 2
  • @
    @edmackmbilinyi86514 years ago Yan ben pol kutoka ukristo kumuamin jesus kama yesu kristo na kuimba nyimbo nzur kama ebenezer lkn bado huamni. 3
  • @
    @maalickbintarish66584 years ago Na huwo mzuzu umeendana na dini ulioifuata. 1
  • @
    @michaelisrael41144 years ago Tamaa yake ya kutaka kuoa mke zaidi ya mmoja.
  • @
    @guccijackson30554 years ago Ata bernard morrison ali isaliti yanga awa akina bernard wana pepo la usaliti.
  • @
    @juliusakida62724 years ago Kubadili dini sio shida, shida amebadili kwa kufuata dini ya kweli kwa jinsi anavyo amini kiimani au kama amebadili kwa kiki au mwanamke hakuna dini hapo, 2
  • @
    @victoramani49134 years ago Aaa watu w majina ya benard c o w kuamn jma anazngua tu mse.
  • @
    @djmatia23134 years ago Kumamae zenu. Kichwa hakiendan na habar. Msenge ww c ungentafuta kwanza. Matako we bando umeninunulia ww matako.
  • @
    @rehemaabinelynyagawa28784 years ago Kila mmoja ataubeba mzigo wake mwenyewe sioni cha ajabu hapo kubalisha dini siyo tiketi ya kukufikisha mbinguni.
  • @
    @furahajonas74254 years ago Hakuna anaejuwa dini yenje haki sote tupondani ya pazya jeusi atakapo lifungua itajulikana.
  • @
    @amulikemwaweza92884 years ago Hahahaa! Hawa bern hamna kitu naanza na bernard morrison nakuja bernard paul na malizia bernard membe na wewe endelea mwenzangu ujumbe ukipata mtoto usimwite . ...Expand
  • @
    @marboycmg25424 years ago Mashallah kaka mkubwa karibu kwenye dini yenye msimamo. 1