Duration 21:55

Magufuli Alimuita Samia kabla hajafa Akakataa Machinga Wasifukuzwe waacheni

366 660 watched
0
2.4 K
Published 26 May 2021

👉 JPM: HATUJATUMIA PESA YA MZUNGU KUTEKELEZA MIRADI/CORONA TUMEISHINDA VIBARAKA WATAARIFUNI MABEBERU; /watch/8xbWJTbNaKtNW 👉 MAGUFULI NDIYE MKOMBOZI PEKEE WA KULIKOMBOA BARA LA AFRIKA WENGINE NI VIBARAKA TU WA MZUNGU; /watch/oj0QFcFX1yzXQ 👉 MAGUFULI MSIMUITE RAIS HANA SIFA YA KUITWA RAIS; /watch/wOIXmu0CirVCX 👉 UJUE USHETANI WA BILL GATES KUUA WAAFRIKA KWA CHANJO; /watch/4dqdaY7COHnCd

Category

Show more

Comments - 1554
  • @
    @joshuaerinesty73813 years ago Mama samia kumbuka usia wa kaka yako Magufuli 198
  • @
    @kinyamal82013 years ago JPM alisema Tanzania mtamkumbuka, ila kiuhalisia Africa nzima tutamkumbuka daima. He was one of a kind. Legend of Africa. I called him Lion of Africa. 86
  • @
    @jumakalukule53123 years ago Aiseee m/mungu mlazemahalipema peponi msamehe kwayale aliyokosea lala salama mzee wangu 77
  • @
    @lameckmwandja60983 years ago Pumzika kwa amani legend J.P.M tutakukumbuka daima ,Mungu atatenda yake dhidi ya kifo chako. 87
  • @
    @helentelemla56233 years ago Nilimpenda Magufuli bila unafiki hata Kama amekufa siwezi kuwa kigeugeu.Hata kuchanjwa sichanjwi na familia yangu.R I P shujaa nitakukumbuka daima 177
  • @
    @kitosmayunga87223 years ago Ninachung sana naomba mungu awaumbue waliomuua jpm walio lenga yasfamikwe 60
  • @
    @hbdina3 years ago 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Dr.John Pombe Magufuli ❤️❤️❤️kuna wawekezaji majambazi,mfano:Wachina wanaotaka kumiliki bandari kwa miaka 99.Tanzania tuwe makini 48
  • @
    @ernestmasanja25893 years ago Huyu alikua mzalendo wa kweli mtetezi wa wanyonge mtu wa watu hakika tutakukumbuka daima. 124
  • @
    @mimitijara48063 years ago Kwenye soko mama mbona tena ukamg3uka mwenzio ss hauko tena mama ashammaliza maisha ni bahati mama na kiwete kufa ni lazima one day u guys will pay the death of our african leader our hero wil never ever forget u rip our beloved africa father ... 66
  • @
    @jescadeogratias52923 years ago Dah! Kama mtu akifa anaweza samehewa makosa yote. Kama Kuna sehemu amekosea Mungu msamehe Maana sisi n binadamu, muweke katika pepo yako. Tumekumic sana shujaa wetu😩😩😩😭😭😭😭😭😭😭😭 8
  • @
    @neemakilomoni42583 years ago Samia anavyo itikia utazania ndio anayo yatenda sasa mmh Mwenyezi Mungu ulijua ficha miyoo yetu Mama kageuka kama sio yy alikua office moja na Magufuli Rest In Peace Paradise Mh Magufuli. 😭😭🇹🇿💔💔💔Samia Mama rudi kwa Mungu wako Mama kumbuka haya Maneno Mama ya Hayati Magufuli baadhi ya wa Tanzania 🇹🇿 wana lia Mama ... 39
  • @
    @fediruben50093 years ago Nasema hivi Kama Kuna mtu ameshiriki kwa namna yoyote ile haki ya Mungu mwaka huu hauishi Mungu atatenda😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 25
  • @
    @noblechild56523 years ago Hakika kizuri hakidumu. Rais wetu JPM😭😭😭😭😭😭 Allah akuweke Pema Peponi inshaAllah 🙏 23
  • @
    @georgerichard12423 years ago Maneno ya huyu baba yataendelea kuishi kwenye akili zetu daima na nasema damu ya huyu baba haitamucha MTU salama,waacheni wakengeuke lkn nao watakufa tu,,pumzika baba yetu tutaonana badae 18
  • @
    @marrymenas3 years ago Uliye muamin Baba kakugeuka! Twafa kwa pain 😭😭 hatuna wa kututetea wanyonge. Kibaya zaidi hili neno "wanyonge" sasa hivi tukilitamka tunaonekana ni bwege mtozeni piga uwa. Tunakukumbuka sana Baba 14
  • @
    @tonyjamessantiago46173 years ago Tanzania, itachukua zaid y miaka 100, kumpta m2 kama uyu King. 74
  • @
    @1m.13 years ago Hakika Tanzania ilimpoteza kiongozi ,mzalendo mtendakazi na mtetezi wa wanyonge ,sijui kama Mungu atawapa kiongozi kama huyu jpm rest in peace tutaonana badae Kenya tulikutambua😭😭 155
  • @
    @bellutbellut30493 years ago Baba yetu tutakumiss sana .uliwajali watu wa maisha ya chini .sana . waliobaki wanawajali tu. sio ss watu wachini .Mungu akupumzishe mahali pazuri 16
  • @
    @pendomarco89283 years ago Jamani watanzania wenzangu tuacheni uzazi Wa mpango na tuliotoa mimba Mungu atusamehe ili tuzae watoto Wa taifa la kesho watakaokuwa wazalendo na kuokoa nchi yetu Kama Magufuri 61
  • @
    @lulanjamd38863 years ago Mimi nilisema siku Rais Magufuli akitoka madarakani ujue ndo mwisho wa Ccm mwaka 2025 mama samia hashindi kiti cha Urais watu walipigia kura Ccm sababu ya John Joseph Pombe Magufuli . 21
  • @
    @simonannettemwetela60173 years ago Asanteni sana baba mfalume magu simba wa afrika nzima akubarike sana endeleye kuwàongoza wamalaika mbinguni uliko kiongoza mkweli na ukweli utabaki ukweli msema ukweli ni mpenzi wa mungu kweli kabisa , siwezi nika sema lala salama iyo apana nta sema chapa kazi salama waongoze wa malaika talatibu wa amini kweli wewe nilafiki wa mungu kiu kweli. ... 9
  • @
    @sadickathuman80683 years ago Uyu mzee wanasema alikuwa mwizi mm nasema hataaangeiba myka yote aliyoyafanya yalikua yanaonekana 3
  • @
    @samwellwiza10983 years ago Ngoja niendelee kuomboleza coz yale yajayo ni maombolezo zaidi ya maombolezo...... 34
  • @
    @mumberemark87843 years ago Oh nooooo. My brothers and sisters in Tanzania, you truelly lost a KING of Kings. MAY ALLAH GIVE YOU STRONG AND GET YOU ANOTHER MAGUFULI. 117
  • @
    @coolruler68203 years ago Ni vile tu Afrika hatuna kawaida ya kuwasifu na kuwaenzi Mashujaa wetu, na kama ilivyo kwa Nabii kutokuwa na heshima kwao, bila kudodosa Magufuli alikuwa Raisi mzalendo na chapa kazi. Lala pema peponi baba! 71
  • @
    @hashimlowela2943 years ago 😭😭😭😭pumzika kwa Aman Mzee mungu ameamua Ila kunawakati unaweza ukakufuru mungu bure nahisi kama nimeondokewa namzazi wangu wakunizaa 4
  • @
    @eliuzejulius35693 years ago Mbona Sasa sivyo vinavyo fanyika? Mungu wetu unaye ishi tenda katika nchi hii maana usaliti, ubabe, unyanyasaji, na rushwa tayari zmepamba Moto sana 13
  • @
    @edwardmsaso73113 years ago Iyo inaitwa unaskiliza sikio la kushoto yanatokea kulia,hakuna kitu chchte alikua anakielewa hata muezi 3 haijapita amekengeuka kaanza kuwatimua kisiasa kariakoo 48
  • @
    @wadeelegbogun30153 years ago R.I.P JPM 😭😭😭😭tutakukumbuka daima JPM baba yetu JPM 😭😭😭 106
  • @
    @margarethsolomon98233 years ago OH! My God, Imenifanya nianzishe kilio upyaaa kabisaaaaaa. Mama Samia uyakumbuke hayo leo👆👆👆 Unayajua.😭😭😭💔💔💔 14
  • @
    @basharahamtzhalisi68713 years ago Mama samia anaiona hii kweli, maana tumeanza kusumbuliwa, MUNGU ATUSAIDIE. 23
  • @
    @Jal2103 years ago JPM was strong in all roles and I don't think we will ever get a president like this in Tanzania, Africa. God bless you he will always be remembered for his dedication to Tanzanians and Africa in general. 51
  • @
    @mimitijara48063 years ago Sada imekuwa ni samia na kiwete ndio mwenye mamlaka tanzania hata hawaongipi mungu na mitume wake eti hawa ni waisilamu walaaniwe kabisa laanatulahi mlaaniwe usiku na mchana 32
  • @
    @nishasalim28803 years ago Huyu mama anajua kilichomtokea jpm.Manake anakwenda kasi sana! 32
  • @
    @damarismatheka23083 years ago Baba taifa tulikutambua Sana may your soul continue resting in peace,from 🇰🇪🇰🇪 21
  • @
    @sallygrace14953 years ago Tusisahau kuwa Adui wako yupo Mbali mwako, sasa Zaidi Tumuomba Mungu atajibu Uhai wa hayati Raisi Magufuli, Usifikiri damu ya Mtu itaenda Bure..☝ 11
  • @
    @amockkalinga15203 years ago Daaa kama upo baba mpaka machozi yananitoka jamani acha tumwachie mungu mweza wa yote kibinadamu inauma Sana rest in peace dady 12
  • @
    @lottikishapui73773 years ago Ooooh mungu wangu naomba unifariji mimi kwa kilio ya kila wakati jpm nitakukumbuka daima pia watanzaia masikini watakulilia na kukumbuka daima 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 1
  • @
    @isamony583 years ago mm samiya kumbuka hayaaa manenoo jamaniii kwa nn mnageukaa lakini mungu mlazee mahala pema magufuki wetuu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏 3
  • @
    @stevensimtowe45113 years ago Kwa Sasa Hatuna RAIS 🇹🇿ilo Ndo mjue Watanzania wenzangu 30
  • @
    @africayetutv3293 years ago Daaah!! I'm crying again 😭😭😭😭 what is this? , the one who is getting this message is the one who is leading us now or I'm blind !? 32
  • @
    @kudraahmad56703 years ago Mzalendo wa kweli na mpenda haki tutakukumbuka daima,,, eee mola mpokee na umpumzishe kwenye ufalme wako sisi watanzania tunakuombea upumzike Kwa aman, amiiin 5
  • @
    @wanzambinya85013 years ago The best president ever! not only Tanzania lost their hero, i am a kenyan but up to now my heart its still heavy when i remember u left us JPM. in ur speech, u never missed to talk about the poor people... lala salama... 36
  • @
    @rukiaissa52253 years ago Mama wanawake wenzio tulifurahi japo kwa machozi ya uchungu mzito.😭😭😭.Sasa yakumbuke Basi hata haya... 11
  • @
    @justinmutabazi73533 years ago Pore Sana Rais wa Dunia tume Ku Miss kweri, Kikwete Amekumariza pamoja na Makamu wako😭😭 20
  • @
    @leiratykisura67183 years ago Uyu mma mnafki sana apo anaitikia na kusaponti lkn leo hi kashika nchi yy hakuna anacho kifanya zaid ya kutoa mari za watzd 41
  • @
    @abuushaakir95823 years ago Duuh mungu akueke panapostahik kiukweli mzee tulikupenda buuree kabisa kama nakuona... 32
  • @
    @liberatuceboniphace40043 years ago R.I.P King. Mungu tusamehe nchi yetu kama kuna mahali tumejikwaa, tusaidie tuinuke tena 16
  • @
    @amishadykiswaga10773 years ago Never forget JPM, Mungu amhifadhi mahali pema, apumzike kwa Amani. 11
  • @
    @debaronmalumba42033 years ago Nimelia mpaka nikagundua kuwa magufuli hatarudi Tena ndo nikanyamaza pumnzika kwa amani baba yangu kila nikikumbuka roho inastuka na kuuma Sana kweli baba uliuteka moyo wangu kwa uongozi wako mzuri kwa kweli haijawahi nitokea aisee nimeteseka Kama kipindi like nilipompoteza baba yangu mzazi kweli magufuli ulikuwa baba mzazi kwangu na zaidi ya uraisi kwangu😭😭😭😭😭 ... 6
  • @
    @kisiipentecostalchurch22723 years ago Surely am akenyan but this king of Africa ameniumiza moyo sana sioni kama nitamsahau uyu mtenda Kazi watanzania mumeua gold next 5 years mungekuwa mbali sana hakuna nchi ya africa ingewafikia jamani. 21
  • @
    @pastorhermantv54203 years ago Dah hapa sasa nimeamini huenda magufuli hajafa kwa mpango Wa Mungu dah nasikitika sana yaani waliohusika kutuondolea Mfalme wetu Nawalaaani kwa Jina la Yesu hawatamaliza 2025 na wao wataenda walipompeleka Mfalme wetu tena nasema na wanisikie popote walipo ... 11
  • @
    @johnmalembo64643 years ago Maneno haya yatahubiri kwa vizazi vingi. Mbegu moja ikipandwa. Itaota na kuzaa mbegu nyingi. Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz 1
  • @
    @borahmlamba50303 years ago Dah ,RIP Rais wangu Magufuli 😢😭😭😭🙏🏽🇹🇿💔, 20
  • @
    @saniakarama61133 years ago Jmn huyu bibi hajisikii vibaya roho haimsuti dunia kigeugeu 🤲🤲 25
  • @
    @prophetmunuo93173 years ago hivi muuaji wa huyu mtume wa Mungu akisoma watu wanavyolia na kumlaani huyo, hivi muuaji anajisikiaje? 77
  • @
    @nestor3843 years ago Huyu ndiye Rais aliyeijua Tanzania na utamaduni na utangamano wake kwa kina sana kuliko wababaishaji wanne wengine. RIP Baba tutawasimulia watoto na wajukuu wetu juu ya uzalendo wako💔😭 20
  • @
    @anithajaphet45873 years ago nimeishi mpaka Leo hii niko salama sihitaji chanjo wala mama yake na chanjo magufuli always my legend 2
  • @
    @hijaabdalah92353 years ago Msema kweli hadumu .Allah akupe pumziko la milele shujaa sasaiv nchi ishauzwa 5
  • @
    @ericklaurent14843 years ago Daaa wakati wazungu Na kibalaka vyao wakasema yy n dikteta. Wanyonge tukasema tumemupata mkomboz wetu Na je sasa Samia tutamuita.nan? 14
  • @
    @shaddybmc83423 years ago Mama zingatia haya maneno ya mzee , muhim sana 15
  • @
    @pendael023 years ago Mama asisahau haya maneno , pili usiwategemee waliotumwa na wazungu. Ma puppet wa mabeberu . 2025 itaongea zaidi ya hii miaka minne. Upinzani wanafurahi ama watu wa karibu na Magufuli walikuwa wasaliti na wapinzani. 25
  • @
    @marianmartin74833 years ago Uzalendo huu utapatikana wapi?, ee mungu wee. Nashindwa niseme nn, tutakukumbuka daima JPM. RIP JPM. 23
  • @
    @machaggechacha34223 years ago Kumuua Magufuli inaumiza kupita kiasi. Jamani!!!! Sijui shetani wa mapembe mangapi alimshauri Kikwete kumuua huyo baba. 44
  • @
    @producerema2913 years ago Hayati Magufuli ameacha legacy. Tutakukumbuka daima 14
  • @
    @emmanuelaernext14943 years ago mi macho yangu sasa yapo kwa majaliwa tuu 2
  • @
    @geofreymwaipopo14423 years ago R.I.P BABA MUNGU ametuponya na colona leo inaundiwa tume na wasiokua wazalendo wanatushauli chanjo MUNGU tunakuomba uiponye Tanzania 37
  • @
    @nishasalim28803 years ago Huyu mama juzi kawaita kina Aliko Dangote , nazir wa mambo ya nje wa Saudi, eti waende wafungue ubalozi mwingine znz.
    Amazing.
    4
  • @
    @staralive92603 years ago Unasikia anajifanya kuitikia eti mmh, mhh, mhhh. Utadhani lilikuwa linaelewa kumbe hakuna kitu kabisa ni mnafiki huyu mama Basi tu jamani. Mungu atamhukumu yeye na hawala yake soon tu nakuelezeni. 23
  • @
    @adelaidashayo87243 years ago Hakuna siku naacha kuangalia hotuba zako rip chumaa tutakukumbuka daima😭😭 2
  • @
    @peaceisrael81583 years ago Nisikiapo hii sauti lazima niskilize, kisha naumia gone too soon Mungu akulipe kwa wema wako , ulitupenda ulitutetea ulitupigania 😭😭😭RIP JPM🤲🙏🌺🌺🌺 1
  • @
    @yohanavenance19773 years ago Mama samia Kama unafikir hukupewa wosia siyo Kweli,chapa kazi ukikumbuka chuma alikuamini sana na asingekuwa yy pengne tusingekutambua wengine.Naomba usimuangushe hayati.kazi iendelee.. 1
  • @
    @irakozejclaude78693 years ago 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
    MUNGU ATATULIPIA SAWA
    Kama alihusika yeyote Mungu
    Atamzalilisha Kwani wanyonge ndio familia kubwa ya Mungu dua zetu Mungu anaziskia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
    3
  • @
    @hildaeliapenda39383 years ago Yaani nimelia tena jamani magu Mungu tunavyokuombea Mungu akuweke mahali pema peponi dah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 1
  • @
    @taeykirundusadallah56593 years ago Hakika ulitoka ktk mifupa ya watu umezaliwa na binaadam mngu akuweke ktk sehemu salama JPM. 1
  • @
    @gracegrace62003 years ago CCM mbona mumemugeuka Hayati Magufuli wakati chama chenu kimeoendwa na Watanzania kwasababu ya JPM? MUMESAHAU? 12
  • @
    @stephanosimkoko6303 years ago Huyo mtu hakuna hata moja analokubaliana nalo yote amepinga😭😭😭😭😭 1
  • @
    @SimonEdward-kj3ez3 years ago Aliye muua mwamba alaaniwe yeye na wanawe na uko wake wote, wafe vifo vya ajabu wao na watoto na wajukuu zao 35
  • @
    @yohanaandrew3363 years ago Da kweli mwamba umeondoka na ndoto zako za kutetea wanyonge 6
  • @
    @najmaulaya88193 years ago Yaaani mpaka namuota huyu baba jamani 😭😭❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 8
  • @
    @georginajohn84563 years ago Jamani Magufuli Wetu Mtetezi wa Wanyonge Pumnzika kwa Amani Baba bado wa Tz hatuamini tunaona kama ni ndoto Dah Simba wa Africa amelala Wazungu pia walijua yupo Mwanaume Africa Mama Samina tunamuombea sana kwa Mungu Magufuli alijua kuwa utaweza kuiongoza nchi ndo mana akakuchagua tuko pamoja Mama yetu ... 1
  • @
    @abubakarwasonga53983 years ago Ajabu Kuna wanyonge weengi Tena choka mbaya wanadiriki kumchukia JPM Hali ya kuwa alikuwa mtetezi wao,nguzo yao,na dira YAO,wanaungana na matajiri uchwara kumponda,hata haya hawaoni nchi ilivyobadirishwa kwa Kasi ya ajabu 5G,KILA Kona NI miradi ya maendeleo,Kama watu wa USA na ulaya wanaona maendeleo Tanzania ww NI Nani ??? ... 13
  • @
    @selemankassim99723 years ago Ulikuwa jembe sana kiongozi wetu tulikupenda sana lakin Allah amekupenda zaidi 10
  • @
    @priscadaniel73 years ago Asante baba lala wabaya Watu e mungu Wangu uko wapi niwakati wakuwajbu wario muuowa laisi wetu e mungu nakuomba ilusu Asila yako Halaka maana sielewi jamani lala baba haijawai Kupita Siku bila kukuombia baba Leo nimekuombi mala 3 e mungu usie lala onekana mungu tujbu maombi yetu Magu lala Kazi umeifanya 👏🙏 pumzika baba Hakika wema wako hautasaaurika baba lala Kipenzi cha Masikini 👏🙏 ... 1
  • @
    @kiazikitamu39853 years ago This was real a Man of God, he was a real deal, viongozi wengi wanasahau fadhila wakishachaguliwa tu wanawageuka wapiga kura ndio yalikuwa maisha ya wapiga kura kabla ya Magufuli sijui awamu ya sita kama itawathamini wapiga kura, walipa kodi na wapiga kura wanyonge wanaorubuniwa kipindi cha uchaguzi baada ya uchaguzi wanapigwa wanakuwa takataka eee Mungu tuhurumie, huko mbeleni mtakosa wapiga kura kabisa na kundi kubwa la wapiga kura ni wananchi wa hali ya kawaida sana wanatumiwa kama chombo tu wakati wa uchaguzi ndio wanathaniwa thamani yao inakwisha wakishatangaza mshindi waliyemchagua na waliochaguliwa wote wanatumia pesa ya nchi kujipongeza kwa sherehe na vifijo wapiga kura wao hawapewi hata sh 1000 ya kufuta jasho eee Mungu wafungue macho wapiga kura wayaone haya wanatumika kama toilet paper ukishatumia unatupa kule haina thamani tena kiongozi yeyote aliyechaguliwa kama anataka kufanya pati aje afanyie mtaani au jimboni kwake kwa pesa yake sio ya nchi ili afurahie na waliompigia kura duh bado tunasafari ndefu ya kuthaminiana hatuthaminiani kabisa.
    Magufuli tu ndio aliyethamini Mtanzania mpiga kura hakufuja pesa na wapiga kura na kodi zao kwa ajili yake na viongozi wengine alizirudisha pesa kwenye mahospitali kununu vitanda vya wapiga kura ili wakilazwa waseme kweli tulijua kuchagua.
    Rest in Power Magufuli wetu 🇹🇿🇹🇿
    ...
    1
  • @
    @innocentsimika19373 years ago Rais Magufuli Nitamuishi daima ...sitomsahau daima ...Sikuajiriwa nae lakini alinipa ujasiri wa kupambana...Ni ujinga sana kumchukia mtu kama huyu kisa hajakuajiri...Resr in power JPM 3
  • @
    @eddyjosephmagenge96583 years ago Doh! RIP my president JPM. Ee Mungu uturehemu maana huyu mtu baadhi yetu tulimwona dikteta Ila leo hii tunamkumbuka na kumtamani maana yajayo yanahitaji final perseverance. 😭😭😭😭 1
  • @
    @jamilasalimvilog67523 years ago Lala salama mwamba tulikupenda na tutakukumbuka daima 😭😭😭😭🇰🇪🇸🇾 3
  • @
    @evansowino56723 years ago Kweli walio wazuri dunisni hawaishi..Sina huakika kama Tanzania watakuja pata kiongozi kama marehrmu JPM tena. This guy was Godsent to Tanzanians ,but how many knew that. May Jpm's soul rest in Power. 20
  • @
    @mimitijara48063 years ago Mama mnafiki kapata kimada kiwete hadi kukufinish adui mkubwa wa watanzania kabaki catwalk kimada nae dawa za kulevya haki mtutakutana na yy huko kwa muumba Wa mbingu na ardhi kiongozi ni kama huyu kipénzi cha walala hoi wanyonge masikini mama ntilie kilie chao kitalipwa tu wacha kmada na catwalk watapata hasira za mungu very soon ... 61
  • @
    @suzanfelix80653 years ago Nimesoma comment nakugundua kuwa tz Wana akili Sana aisee 🥰 2
  • @
    @fransavinhonacmela8273 years ago Baba Ntakukumbuka sana.Pumzika kwa Amani.huko Ulipo umeondoka umetuacha na majonzi 1
  • @
    @s.flavor383 years ago Iv mama mbona unaitikia kila neno mh yani unanaonekana kabisa hamuungi mkono magufuli ww 16
  • @
    @johnmasinde18753 years ago What a great leader! With his people at heart. RIP 14
  • @
    @rubenijhonisamelo57963 years ago Mungu amlaze magu mahali salama ,nenda baba tuko nyuma yako