@susankitila86843 years agoWaziri mkuu ana hekima sana. Na mungu akubariki sana. Mh majaliwa kweli wewe ulikua pamoja na rais magufuli. Ubarikiwe. 1
@
@stevenmabungi32453 years agoNamkubali sana waziri mkuu ndugai hatufai sisi maana ni kinyongo huyu na mtu wa namna hii muogopeni sana. 2
@
@nadhiriahmadi31203 years agoHafai kuwa spika wa bunge ni mnafiki mkubwa kipindi cha hayati magufuli alikuwa wapi. 7
@
@munakkwangaya56363 years agoHongera waziri mkuu huko pamoja sana na wananchi wako balakoa tupa kule hazina nafasi tanzania yetu tupo salama m/mungu anatusimamia vyema. 3
@
@valenakomba44533 years agoSasa je, acha umbea. Hata mzazi huwa wanasema mimi ndo rais wa nyumba hii, kwani hapo kuna ubaya gani? Acheni majungu jamani msiwazibie watu riziki zao.. ...Expand6
@
@tundamasaga95303 years agoSio kweli kwenye utendaji ni lazima ujivishe majukumu yote usimuachie mtu ukipatia au kukosea lawama au sifa ziwe zako ndugai acha fitina mkumbuke na sisi tunaakili. 2
@
@marcoboniphace81083 years agoNikikumbuka maneno ya baba yetu alisema mtakuja kunikumbuka kwa mazuri siyo kwa mabaya. Kweli taanza kuyaona. 5
@
@ludoviclimo41533 years agoMama tunakuku bali sana. Ila tunakuomba barakoa zannje ya nchi zisija hapa nchini. Mitumba ifungiwe isije. Kingjne kikwete asiwe muongeaji sana. Kwakua elimu alioileta yeye leokwasasa. 4
@
@pontianrweyongeza62403 years agoNinashukuru mungu kuona taifa retu rinaenderea vizuri,
@
@mariambilonkwa51833 years agoMama sa 100 ndungai ni nyoka wa ndumi la kuwili muogope kama ukoma. 2
@
@johannesrwiza3 years agoHatimae ikulu imerudi dar es salaam. Rip magufuli. 3
@
@maxlattinokiki81053 years agoM h: samia, huyu ndungai nayeye ungeli muangalia tungeli mbadilisha maana huu uongozi una mpa batara! Kila siku yeye tu! Khaah! 3
@
@sudymgeni7013 years agoYani ndugai mungu anakuona. Baba angekuwepo ungeongea kweli.
@
@pitargamba92083 years agoMwandishi acha ushoga nani hajui makonda mazuri yaliyoyafanya tangia akiwa dc hadi rc alipambana na madawa ya kulevya nk. Hadi uchumi ukapanda daa. 10
@
@abdulkilala98453 years agoLinafiki tuu spika gan msaliti nyau tuuu ww.
@
@susankitila86843 years agoHalafu mna roho. Mbaya sana nyie. Kumuondoa. Makonda katika nafasi zote. Kijana alikua anaweza uongozi au udn. Nini.
@
@yagwishaheke25243 years agoNdugai kama mama tu huna unachomzidi makonda kazi. 7
@
@vbnmmnbv52923 years agoHamna wa kumfananisha na makonda japo sasahivi anaonekana hana maana ila dar tulishazoea amshaamsha za makonda mis ur makonda. 13
@
@hamisikadege58673 years agoUmenifurahisha unavoanza kuanza kwa salamu ya mungu maana hii awamu imehama kabisa kwa mungu. Naona tunasalimiana kwa nina la nchi.
@
@masanjamasaga37583 years agoMakonda alikuwa vzr sana ww unamchafua bure mtu wawa watu. 3
@
@jeffkonki82793 years agoOgopa sana serikali ambayo kilaanaeongea anapigiwa makofi.
@
@manenoyusuph49073 years agoAcheni unafiki huyo aliejivika joho la raisi kwani nchi ilikuwa haina kiongozi na akamtumbuwa mbona kama unazungumzia uongozikwa uuma.
@
@stevenmabungi32453 years agoMkuu wa mkoa ndiyo smirk jeshi mkuu katika eneo husika ndugai acha majungu wewe na msipende kujipendekeza ni dhambi kubwa kwa mungu.
@
@masanjamasaga37583 years agoMakonda alikuwa mchapa kz kafanya kz kwelikweli ktk mkoa wa dar. 6
@
@azizabdallah5853 years agoMh. hapana. Kila mtu muhusika abebe msalaba wake. Siyo mkurugenzi kaharibu kazi eti mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya Hivi hapo bungeni kama katibu wa bunge kaharibu kazi. Je ni haki wewe spika na naibu spika muwajibishwe. ...Expand
@
@emilykassiano61733 years agoMajaliwa anapoongea unaona kabisa anamaanisha mungu mlinde waziri mku wetu. Na ukipenda mbeleni apate cheo kikubwa zaidi.
@
@mary.matullu82793 years agoMsizoee masks za nje zina funza tumia microscope utaona msioene vyanje watu wa huku hawawataki mema. Sijui muabiwe mara ngapi. 4
@
@issanmedia46543 years agoTumain lang ni kwa majaliwa, hakika ww cio mnafiki nakupenda barakoa kwetyu cio tiba, ni lulu pekee iliobakia, hatuwez jua sana lakin hakuna namna hyo. ...Expand
@
@paulmasansi18153 years agoAnawatetea wakurugenzi kwakuwa mke wake ni mkurugenzi wilaya ya bahi.
@
@nassoromsangi13233 years agoMh! Ndugai mbona umedharau salamu mama aliyoianzisha kusalimia kwa jamhuri ya muungano wa tanzania.
@
@maishayamtaani28313 years agoMbona wewe ujawajibika ulimtukana makam wa rais kuwa akumshauri rais vizuri je ulijiuzuri. 1
@
@mawazokasembe84983 years agoKila akilaumiwa makonda kunawengine wanasema alifanya kazi vizuri sana eti alidhibiti madawa ya kulevya! Hivi ndo jambo la muhimu alilotumwa akalifanye. ...Expand4
@
@bakarimngazija66723 years agoNdungai huna jipya wewe mwenyewe huwajibiki bunge umelivuruga na kila mtu anajuwa ndungai unajipendekeza lakini siku yako inakaribia na inakuja na majuto makubwa! 1
@
@lennykiganga47633 years agoHivi hii nchi inarais kweli na kama yupo ni nan mbon sijaona rais wngkero kutwa nasia kunampokeaj wa wagen ikl but whatever the case nirud kweny point ya msingi rais anawakilishwa na mkuu wa mkoa akiwa hayupo ndo maana makonda akajiita rais sasa kwan ndungui ilikuwasxh nn. ...Expand
@
@stevenmsaaada.msaada.3893 years agoWejamaa mbona unamajungu kama limwanamke ivo? 1
@
@magrethmallya77283 years agoBora makon da kuliko wewe ndugaya kwani wewe kazi yako ninini? Hatukuelewi kabisa yani. Makonda babalao. 2
@
@annakisiga8893 years agoWewe ndugai huwez kujifananisha na makonda send kuwa aliwazibia nafas zenu za uuzaji madawa ya kulevy pimbi wewe jimbon kwako hata umeme hauna.
@
@francokamugisa2963 years agoNchi hii ukisaidia wananchi unawaudhi wakubwa ukila na wakubwa unalaumiwa na wananchi, hapo chagua moja ule na wakubwa uwe salama au usaidie wananchi ufe. 1
@
@JK-uq1tv3 years agoIla hiz barakoa kuna viongozi hawajazoea wamefunika mdomo tu pua wameacha.
@
@florakweyunga44903 years agoNani kamaamepambana, leo hii wewe unasema hivyo. Walio mchukia makonda niwale walio kuwa wanauza madawa yasaanachuki binafsi. 2
@
@saidalsalmi93133 years agoUko sawa mheshimiwa ndugai ujipe ukubwa ambao huna.
@
@lemsanyajoel83603 years agoMweshimiwa ndungai apo umesema ukweli. Hao wanaokupigwa wanafiki zao na jao wanaowapigia debe.
@
@brightmackmwaky79683 years agoMimi nawaomba wstanzania muwajue mafisi huyu ndugai ni ndumila kuwili nahisi ni asili ya ukwao umatonya. Hebu muangalieni anavyo jipendekeza kwa kuwapiga. ...Expand
@
@jamesndondole94833 years agoMsituchanganye na mabarakoa mnataka kutuua kwa hofuu!
@
@audaceleroi13703 years agoHivi watanzania hamuoni kama inchi imeshauzwa? maana wale wote waliokuwa wanamuunga mkono jpm, sasa hivi wanapinga mambo yake! ao ni mimi ndiye nisiyeona vizuri? 3
@
@ropaultv56103 years agoHii nchi kwa sasa haina rais, haito kuja kutokea tena tanzania ikawa na rais mwanamke labda baada ya miaka 10 kupita, sioni nuru katika leo tutasikia umeme kesho makubwa kuliko yanakuja. Tutaelewana tu. ...Expand2
@
@diamondgeyser79873 years agoAcha ujinga ndugai, wakuu wa mikoa na wilaya ni wawakilishi wa raisi katika maeneo yao, haimaanishi kwamba wao ni raisi. Ila ndungai unajipendekeza sana kwa huyo mama mpaka inachefua.
@
@fauzhaji71493 years agoInapendeza kuona sasa musk zinavaliwa katika ngazi zajuu. Hopefully tutaona bungeni na sehemu nyingine nyingi na wananchi kwa ujumla. Hapa sasa unaweza. ...Expand
@
@ziadaomeri60583 years agoMakonda alifanya kazi acha kumchafuwa kabisa. 7
Related videos for Ndugai Amkumbuka Makonda Mbele ya Samia Huyu Alijiita yeye ni Raisi wa mkoa msijidanganye kama yeye:
hapana. Kila mtu muhusika abebe msalaba wake. Siyo mkurugenzi kaharibu kazi eti mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya Hivi hapo bungeni kama katibu wa bunge kaharibu kazi. Je ni haki wewe spika na naibu spika muwajibishwe. ...Expand
maana wale wote waliokuwa wanamuunga mkono jpm, sasa hivi wanapinga mambo yake!
ao ni mimi ndiye nisiyeona vizuri? 3
haito kuja kutokea tena tanzania ikawa na rais mwanamke labda baada ya miaka 10 kupita,
sioni nuru katika leo tutasikia umeme kesho makubwa kuliko yanakuja. Tutaelewana tu. ...Expand 2