Duration 2:48

LUSINDE, SERUKAMBA WAHOJIWA TAKUKURU DODOMA KWA MADAI YA RUSHWA

1 735 watched
0
5
Published 9 Jul 2020

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma akizungumza kuhusu kukamatwa kwa vitendo vya rushwa kwa aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Peter Serukamba leo na aliyekuwa Mbunge wa mtera Livingstone Lusinde (kibajaji) aliyekamatwa Julai 7,2020. CHADEMA WAITUNISHIA MISULI TAKUKURU, BRIGEDIA JENERALI MBUNGO ASEMA WASUBIRI MATOKEO /watch/gx7ZicZZbViZZ

Category

Show more

Comments - 1