Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo ameupongeza Uongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Iringa (IRUWASA) kwa kutekeleza na kufanikisha upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Chamdindi na Ikengeza, jimbo la Isimani mkoani Iringa.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo Aipongeza IRUWASA: