Duration 5:40

WAZAZI WA AKWILINA, WASHINDWA KULA TANGU MTOTO WAO AFARIKI

116 737 watched
0
262
Published 19 Feb 2018

MCL Digital imefanya mahojiano maalum na waazazi wa Marehemu Akwilina walioko Rombo, mkoani Kilimanjaro, katika moja ya mambo ambayo yanawakabili kwa sasa ni kushindwa kula tangu walipopata taarifa za kupigwa risasi kwa mtoto wao tegemezi.

Category

Show more

Comments - 87