Duration 6:24

MH.KIKWETE AWAPA MAKAVU KAMATI ZA UFUNDI MAFANIKIO YAPO KWENYE KUWEKEZA WACHEZAJI WAZURI NA KOCHA

83 628 watched
0
301
Published 27 Jun 2021

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri MH.KIKWETE AWAPA MAKAVU KAMATI ZA UFUNDI "MAFANIKIO YAPO KWENYE KUWEKEZA WACHEZAJI WAZURI NA KOCHA" #Bonatv #mkutanomkuuwayanga #kikwete

Category

Show more

Comments - 52
  • @
    @thomasbutingo173 years ago Mzee wetu Rais mstaafu tunakupend sana Mwenyez Mungu akulinde akuangazie kila ufanyalo 2
  • @
    @cathbertmitoga97133 years ago Kikwete utampenda tu.....mtu wa watu yaan kumsikiliza raha sana 6
  • @
    @mchandsometz26443 years ago Wa pili kucomment apa naomba like zenyu🔥🔥🔥 6
  • @
    @henrystanley40773 years ago Hahahahahaha... Rais wangu mstaafu ujue wewe ni muhuni sana...yani nmefurahi sana hotuba yako...nmecheka sana sbb unaongea ukweli huku unachekesha Sana yani...unafaa kuigiza..kazi nzur kbs inafuata sasa ktk kuokoa jahazi😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani sijachoka na sichoki kbs kuirudia hii...hahahahaha ... 4
  • @
    @sanityonline45123 years ago Huyu mwamba anaongea kwa motisha snaa hata huchoki kumskiliza 3
  • @
    @scolakayanda71713 years ago Kaongea point sn kuwalipa muhim sn kiukweli
  • @
    @elisantewawa58243 years ago Na kikwete akiedelea kuizamin yanga haitakaa ifanikiwe kamwe 1
  • @
    @khalidballeth59573 years ago Ndiomaana walikimbia uwanjani🙄
    Kwa imani Ya Kamati Ya Ufundi🤣🤣
    3
  • @
    @basilisamsaka84693 years ago Jamani watu Wana rahaaa hata waliokunja nyuso miaka kadhaa,hv kwann?Mungu utusaidiie duniani.
  • @
    @ameniameni6173 years ago Magufuli Enzi za uhai wake akuwai kucheka kama .Kikwete 3
  • @
    @ilynpayne74913 years ago Story ya ng'ombe nime cheka hatari 1
  • @
    @ramsikhamis70833 years ago 😀😀😀Mzee umeongea fact saana na icho ndo kilichowafanya wakimbiyee iyoo tar. 8 na ilee bus yao inayochomokaga eksel shaft...
  • @
    @uwesusinde99763 years ago Waambie hao utopolo wenzako tukiwaambia sisi wanaona tunawatania na kuwadharau sisi c kama hatutaki yanga iwepo ila ifike mahala mpir pesa iwekwe mezani. 4
  • @
    @mendradfabiani91173 years ago Yaani yanga nimeamini ubigwa wamiaka minne mlikua mnabebwa nahuyu mwamba ndomana hakufanikiwa krabu bingwa Afrika wala siuwezo
  • @
    @henrystanley40773 years ago Kama usikia kicheko cha Rais wa watu piga like za kutosha hapa kuonyesha unamkubali Sana...hahahaaa
  • @
    @nadymhamad26553 years ago Watakao sema vijiwan n wachawi wanajijuw
  • @
    @geofreysenka70913 years ago Hakuna lolote wote nyie yanga ni majangiri hakuna mpira happy kila mmoja anawaza atoke vipi hapo
  • @
    @pungwem43063 years ago Yanga Afrika nahipenda sana kwa moyo wangu ila Kikwete si mpendi kwa kifu cha MAGUFULI.