Duration 48:11

K2ga: Killy na Cheedy walivyoondoka Kings Music kwenda Konde Gang, Walini-Block Kwanini wanaharaka

50 266 watched
0
1.4 K
Published 20 Dec 2021

Msanii kutoka KINGS MUSIC ya Alikiba ameongelea jinsi Wasanii wenzake waliokuwa pamoja Kings Music (Killy na Cheedy) walivyoondoka katika uongozi wa Kings na kuhamia Konde Gang, 'UVUMILIVU wake umefanya atoe EP yake mpya ya SAFARI' Katika interview hii, K2ga ameongea UKWELI MTUPU, Kila Kitu kuhusu Maisha yake ya Muziki, Ukaribu wake na Alikiba kikazi, Tetesi za Kudate na Mrembo Nelly Kamwelu Dubai, alivyo-blokiwa na wenzake Killy na Cheedy na mashabiki kumshambulia na yeye atoke Kings Music. 'Kwanini wanaharaka, Mambo matamu hayana pupa' Utashangaa chakula ambacho K2ga hapendelei kula! unajua nini? Tazama full interview ya K2ga hapa, Subscribe channel hii LilOmmyTV, Stream, Like, Comment & Share video hii kwenye mitandao yako ya kijamii na Groups za WhatsApp. Let's Connect http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy https://mobile.facebook.com/lilommyfanpage https://lilommy.com/

Category

Show more

Comments - 162