Duration 18:13

MWINJAKU: Alichoelezwa na LULU Baada ya Kumtembelea Gerezani

88 016 watched
0
410
Published 29 Dec 2017

Subscribe /c/uwazi1 Muigizaji anayetamba na kunga'ra kupitia kipindi cha Mahusiano cha Clouds Tv, Mwinjaku, baada ya kumtembelea malkia wa filamu nchini , Elizabeth Michael 'Lulu', ameongea na Global Tv na kuelezea kile ambacho Lulu alimueleza ikiwa ni pamoja na kwamba anajutia sana kosa lililomfikisha katika kuta za magereza la kumuua bila kukusudia muigizaji mwenziye Steven Kanumba. Mwinjaku pia amesema Lulu anahofu juu ya mapokezi ya watanzania mara atakapomaliza hukumu yake na kurudi uraiani, kama wataendelea kumpenda au watakuwa na chuki dhidi yake, lakini alijitahidi kumpa moyo huku akimsisitiza kuwa hakuna binadamu ambaye hasahau hivyo asiwe na hofu. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 74
  • @
    @asiajuma22867 years ago Pole sana sweet mungu atakufanyia wepesi zaidi.
  • @
    @asiajuma22867 years ago Hongera my brother mungu akuwekee miaka mingi uendelee na moyo huo .
  • @
    @stellalyarua29507 years ago Pole sana lulu, mungu akubariki mwinyijako.
  • @
    @justinerose79147 years ago Jomoni ata sitaki kuona hii video maana ina niletea machozi jameni lulu be strong sis we all pray for hope one day utatoka tu akuna kisicho wezekana mbele . ...Expand 3
  • @
    @queenayushgalqueengal11487 years ago Pole sana dada yetu m/mungu akupe moyo wa subra na uvumilivu kwani yote nimitihani na kila mwanadamu anapitia mtihani wake ila mungu yupo na ww lulu tunakuombea . ...Expand
  • @
    @sweetbeibebeibe52307 years ago Pole mungu atakupa wepesi kila jambo lina mwisho.
  • @
    @ejnamestv7 years ago Bro hongera sana, moyo huo ni wachache sana walionao. Huo inaniuma kina nikisikia habari za huyu binti, pole lulu, all n all azidi kumuomba mungu atamsamehe na kumfanyia wepesi.
  • @
    @ailinlugambwaailin18337 years ago Pole sana lulu hii nayo ni sehemu ya maisha kwanza mshukulu mungu ndugu wa marehemu walikuacha hai kwa hiyo vumilia hayo yataisha.
  • @
    @donathasimon92927 years ago Jmn lulu wang mungu akutie nguvu jmn. Hongera kaka umefanya vzr.
  • @
    @irenesanga63057 years ago Asante mwinjaku but napenda kusema. Neno moja kwa lulu hata kwa watu wengine rafiki wa kweli ni baba yako na mama yako bila kumsahau mungu aliye juu kwamaana . ...Expand 1
  • @
    @shukrisharifu44037 years ago Pole sana mami usjal kwel huwezi jua mungu pengine mungu kakuepusha na kubwa kuliko hili utamaliza tu mami.
  • @
    @barnabasmsuha96887 years ago Pole sana lulu usikate tamaa, mungu yupo nawe.
  • @
    @doylinfrance20657 years ago Pole lulu usikate tamaa mungu yupo pamoja na ww.
  • @
    @znorahznoora62047 years ago Huyu kaka namkubali sana anaushauli mzuli sana na pia anajielewa kama mwanaume. 3
  • @
    @mombiajumaa67657 years ago Pole sana lulukwan ilikua si kusudio mungu atatenda ukweli ulijulikana lakini sheria ilifata mkondo wake.
  • @
    @user-yi8xc6si3f7 years ago Masikin inasikitisha sana pinga moyo konde kwan siku hazigandi mungu atakujaalia utatoka. 1
  • @
    @aimanali86127 years ago Allah akuhifadhi lulu na atulinde kwa sote.
  • @
    @yuliarespis40467 years ago Dah mpaka nimetokwa na machozi, mungu ni mwema yataisha.
  • @
    @lidegundamakundi29286 years ago , pole xana lulu kama hukumuua kwel mungu akutie nguvu!
  • @
    @fanakamasashua6087 years ago Mwinjaku umefanya jambo la maana sana kumuona lulu at least nimesikia amani ndani ya moyo wangu. Wasanii wengine mlikuwa mnakula mnacheka na lulu nenden mkamtue moyo ni msanii mwenzenu. 1
  • @
    @vailethnyagawa11827 years ago Ple sana lulu lazim upitie kipindi hiki ili ufanyikishe malengo yako ple tutakupokea tumekumic sana ten sana nataman hata watu baki tungekuw tunaruhusiwa k . ...Expand
  • @
    @zaifathussein81957 years ago Me swali langu ambalo waga kila siku najiuliza
    hivi kama lulu angehukumiwa punde mara baada ya kanumba kufariki kama wiki moja hivi, alafu akahukumiwa anyways tumshukuru mungu kwa kila jambo.
    pole sana yaarabhi tulinde na utuepushe na madhira ya dunia
    .
    ...Expand
    3
  • @
    @florencemusila73487 years ago Bado lulu tunakupenda, mungu ni mwaminifu atakutoa hapo in jesus name, niko kenya.
  • @
    @mombiajumaa67657 years ago Nawewe ulotukana kwa anaua wstoto wa watu ulikuepo au wewe ndo shahidi namba moja wsmekuacha ngoja lakwako likufike na wewe hi ni dunia yenye utelezi na ukiteleza,
  • @
    @josephinerutta30966 years ago Jaman kwani lulu yupo gereza gani! Na je mtu baki anaruhusiwa kumuona.
  • @
    @kubwasana26497 years ago Sema anatabasamu, huko si kucheka!
    hivi kwanini wabongo wakiongea kiji-neno cha kiingereza lazima watafsiri kiji-neno hicho kwa kiswahili?
  • @
    @alexandrinadomaino98687 years ago Pole sana dear lulu ni mapito tu. Kaka asante sana.
  • @
    @babycandy11537 years ago Maskini mimi nikiskia Habari za LULU machozi hunitoka.ALLAH ampe Iman na INSHAA ALLAH WALLAI naamini atatoka tu.Everything happens with a reason just believe day yes I believe so.
  • @
    @amounanyale92207 years ago Hakuna anaependa mwanadamu mwenzie apatwe na matatizo tunamuombea kwa allah ampe subra nayo yatapita pia.
  • @
    @mombiajumaa67657 years ago Mwinjaku umefanya vizuri na uendelee na moyo huo kwani imani ailazimishwi ila luli ukitoka usiokee mdaada kwa yeyote yule uloona ulikua nae na akakutenga . ...Expand 1
  • @
    @papyjohntv07777 years ago Pumbavuyalo umes haogea tonka umetumwa.