Mwijaku na Hbaba Wameingia Mitaani Alfajiri Kumcheka Diamond Platnumz Kwa Kukosa Tuzo ya BET Awards 2021,Iliyoenda kwa #BurnaBoy wa Nigeria,Mwijaku Amekuwa Akimsapot Burna Boy Kwa kipindi Chote Cha Tuzo hizi,Hii si mara ya Kwanza Kwa CEO wa WCB #Wasafi #Diamondplatnumz Kupoteza Kwenye Tuoz za #BETAwards Aliwahi Kukosa Mwaka 2014 na 2016 pi