Duration 5:48

MNYIKA ATOA ONYO WAGOMBEA UBUNGE, UDIWANI CHADEMA

7 898 watched
0
90
Published 4 Jul 2020

John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewaonya watia nia katika kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kutoleta mpasuko ndani ya chama hicho. Mnyika ametoa onyo hilo leo Jumamosi tarehe 4 Julai 2020, wakati anafungua mafunzo ya watia nia wa kugombea ubunge, udiwani na urais, katika Kanda ya Pwani jijini Dar es Salaam.

Category

Show more

Comments - 31
  • @
    @onesmojustice23484 years ago Yalikuwa yanampinga jpm kwa kutokufanya lockdown yaone yenyewe ata barakoa tu hayajavaa no social distance lkweli haya ni vichwa maji. 1
  • @
    @paschalkache9054 years ago Samaha katibu mpaka sahv mmefikia wap kwenye msimamo wenu kuhusu lockdown? 1
  • @
    @bennymochiwa48004 years ago Safari msituletee wasenge ambao badae wanaunga juhudi za kisenge safari tutazaa nao, mniwie radhi kwa lugha yangu ila sasahv atutaki usenge tunaka makamanda . ...Expand 1
  • @
    @mzeesuleiman96124 years ago Nyinyi wenyewe c wadilisi vibaraka wa mabeberu.
  • @
    @jumannekigori88334 years ago Lockdown imekuwa zilipendwa tunasubiri oktoba masanduku ya kura yatoke lockdown tuyahukumu.
  • @
    @ellytunduza99004 years ago Act wazalendo ndio habari ya mjini chadema pumzikeni.
  • @
    @mimimars33784 years ago We unaumwa, nenda hispitali, kuchukua dora, sema lingne tu.
  • @
    @mzeesuleiman96124 years ago Hivyo nyinyi mnamuamini? Anakuongopeeni tu. Mnapotaza mdaweni ampati ubunge nq' o. 1
  • @
    @kikwajankalango60884 years ago Mahitaji ya sasa ni muungano wa vyama vya upinzani na ninyi hamlioni hilo mnadhani mnawatendea haki watanzania wanaohitaji demokrasia ya kweli au naninyi ni walewale vibaraka wa ccm? 1
  • @
    @tinyaanosiatha11184 years ago Mnyika kuitoa ccm madaraka siyo leo wala kesho nadhani unaota hata mkiungana wapinzani wote watanzania chukua na upinzani wa ungada hamuwezi kuitoa ccm . ...Expand 1