ALICHOKIONGEA ALI KIBA Baada YA Kujenga MSIKITI
Baada ya kusambaa kwa Taarifa za Msanii Alikiba Kujenga Msikiti Shehe Amefunguka na kusema kuwa wote wanaoongea jambo lolote kuhusu msikiti huo wanakosea kwani alicho kifanya alikiba ni swawabu kwa Mungu wake na sio vingene kama ambavyo watu wanalitazama jambo hili.
GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
/playlist?list ...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
/playlist?list ...
GLOBAL RADIO TV:
/playlist?list ...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
/playlist?li
@rohityalsina59724 years agoShekhe ameongea vizur xana dah sio watu wa upande wa pili kule aliejenga alitaka kiki na yule shekhe pia alitaka kiki na wasanii waliempongeza pia walitaka. ...Expand92
@
@ambiamash21944 years agoIts sadaqa ali alijitolea c vyema kutangaza alietenda, may allah give him long life to continue building more of it, always humble guy. 3
@
@stellambeca59134 years agoNawow o, king k. Mashalah, deco on point, classic. God bless. 14
@
@abokrarshamsan79634 years agoMashaallah may allah bless you and your family inshallah. 1
@
@saeedmohammed10674 years agoSheikh waweza kutoa kwa kuonekana, kwa nia ya kuwashawijisha watu waweze kufanya kama ulivyo fanya. Hata enzi ya rasulu allah swalla allahu alayhi wassallam. ...Expand
@
@hamispeter90434 years agoSaid wellhao ndy binadam hawakosi kukosoa hata kitundy mlipaji wakila kitu. 29
@
@mohamadmohamad95224 years agoHongera kaka kiba mungu akulipekila la kheri yaarab sema amin kwaku gonga like apa kama u apenda kiba kwel. 19
@
@sumasullesulle4194 years agoMashalh alikiba mungu akufungulie milango ya kheli nasi pia mungu atupe muongozo wa kuwekeza khamali njema mbele ya mola wetu tusikalie kutaka ya dunia zaidi na sifa zake. 7
@
@peterchuwa58804 years agoShee umejibu vizuri sana kwa ustadi wa hali ya ju sana. 52
@
@sospeterkaponoke37894 years agoHongera shehe japo mimi sio mwislamu nmependa n. A. Hongera kiba. 56
@
@jimjam76874 years agoMasha allah. Allah amjegee nyumba yake peponi amin yarabi amin. 27
@
@abunabinty9602 years agoMashaallah tabaraka allah mungu amzidishie imani zaidi.
@
@khamissalum40614 years agoMaashaallah dada unaongea vizuri nakwaheshma. 39
@
@officialjohanesmkandara43014 years agowenyewe mzuri inshaallah mwenyezi mungu amuongezee pale alipo toa sio kama wenzetu upande wa pili apo midia zote zingetia team. 65
@
@zayanasudi37314 years agoMaashallahamuongezee kule alipotoa inshaallah. 10
@
@sumeiyaaswani95594 years agoMashallah allah akupe jazaa yake ali kiba umefanya jambo la maisha daima ytakumbukwa na kila atakae swali hapa allah atakuandikia mema umejenga akhera yako mdogo wangu nakupenda kwa hilo. 1
@
@hamisikijiba35204 years agoAsante mungu kwamjaaliya uwezo ali kiba ali kiba endeleya kujali sana ahera usimfate huyo madani ya msalaba usiyache swala mungu akusaidiye amin. 1
@
@maliambachubila58044 years agoMashaallah allah amzidishie king kiba. 10
@
@salamabakari86323 years agoWalkm musalam mungu amzidishie nasi pia tuwe muogoni mwao amiin nnshaallah. 1
@
@meshacksamsonmexher33774 years agoMimi ni mkiristo kabisaa lkn kwa jambo zuri kama hili haliitaji matabaka na tofauti zetu zaalikiba sana kwa roho yake hii njema wake wa ibada, mungu amzidishie kheri zaidi ktk maisha yake. ...Expand2
@
@hamispeter90434 years agoMungu akuongoze king. Mambo ya kheri hufanywa kwa kimya kwa kuwa mlipaji ni allah pekee nasiowatakupa sifa zahapahapa tyu dunian ila kwa allah inakuwa ni mavumbi hakuna ulichokifanya. 31
@
@vinanimwinyi316311 months agoMashaallahakjalie heri leo apa dunia n kesho ahera.
@
@fintaniferx95354 years agoMimi ni wa yesu ila namwonaga alikiba ana ipenda dini sana ndo mahana apendi majigambo ana ijuwa kesho mungu amjalie ekima sana najuwa na bwana wetu yesu ata mwacha mbele za mungu amina. 62
@
@ramakibati74154 years agoAllah amjalie wepes ktk kuimarisha kujenga nyumba zaallah naamfanyie wepes ktk mamb yake nakaz zake ila namm pia mwalimu nina eneo nemepewa alina chuo walamsikiti kwahyoo namm pia naomba kujengewa jaman inshaallah.
@
@ahjucekim51384 years agoAllah, ambarik na amuongezee iman na rizk ktk kaz zake na awape mwisho mwema wte walohusika kutmiza jmbo zma. 2
@
@asaasnaamstafa1937last yearUmejiwekea kaka swadaka yakudum hataukifa mema yako yatakufikia peponi milele mungu akulipe kila lenye her liwe kwako na umri mrefu amin.
@
@HassanAli-eq8ko2 years agoMashaallah jazakumllah kheir amiin mola amlipe pepo pa moja na ss inshaallah jazakumllah kheir.
@
@aboubackhrkassangullah83804 years agoHuyu jamaa alikiba anajielewa sana na anaishi maisha ya kweli hapendi kujinakishi. 97
@
@ismailodemo56614 years agoDiamond ana riyaa ajifunze kutoka kwa king kiba mashallah. 2
@
@bashaermobile75214 years agoHongera alli kiba kwakufanya jambo la heri kutambua ahera na ya dunia.
@
@mubarakasefu9584 years agoMashallah kaka ally kiba allah akupe hitaji ra moyo wako kaka kilalagher ishallah. 2
@
@habibakirungikirungihabiba94074 years agoMungu akuongoze kiba nakukubali sana maana mambo yako si yasifa japo ufahari unao unafa kuwigwa king mungu akuzidishie.
@
@magrethkimambi80074 years agoMashallah. Daa hakika hii. Familia imelelewa kwenye maada sana. Kiba anajielewa sana. Hp tz. 1
@
@cadabraibrahim51622 years agoAlikiba ni mtu safi sana asie kua na makuu na mtu mwenye zimungu amlinde kwa makafili.
@
@mickthadon43194 years agoMungu amwongezee alikiba pale alipo toa. na kumjalia yote mema yanayompendeza mwenyezi mungu. 2
@
@joelmwita66203 years agoIlove you alikiba you my best in song to tanzania.
@
@rasekonde45374 years agoInshaallah mungu akuongezee zaid alikiba hakika we ni mtu wa watu hongera sana. 3
@
@halimaabdallah34094 years agoMashaallah, ali kiba, allah akujaliye kwa kila hatua unayepiga ameen ya rabbi.
@
@miswagatz15804 years agoHivi ndivo inavyotakiwa mungu akubariki alikiba.
@
@maajabuhamisi30244 years agoMasha allah mwenyezi mungu amfanyie wepesi kwenye kila jambo. 2
@
@juriosmazengo76134 years agoInsha' allah mwenyezi mungu azidi kumuongezea. 2
@
@abdallaali96893 years agoKiba umejitahid kaka kujenga msikiti mashalaha.
@
@naimawahwewenani.anskutaka11624 years agoBora useme ww sheikh maana watu wanamuandama sana. 13
@
@salehehamza39442 years agoMaasha allah ally kiba allah akufanyie wepesi na malipo stahiki mbele ya allah.
@
@husseinally66994 years agoJamani kujenga msikiti ni jambo la kher ila tusitetee ouvu ikiwa pesa alizo jengea zimetokana na mziki hakuna kitu hapo ni vumbi kama ni mziki haramu na kila kutokana na mziki huo ni haramu mwambieni arejee kwa allah na achane na mziki tusipakane poda kwenye mambo ya allah. ...Expand11
@
@wifematerial89434 years agoMashaa allah, mashaa allah ali kiba mungu atakulipa kheri mbele za khaki, jamani ndugu zangu muache kumjagi binadamu mwenzetu mungu ndiyo mwenye muhukumu,. ...Expand
@
@therealafricana13724 years agoKazi nzuri kiba. Mungupia mungu amzidishie.
@
@karanidicky44894 years agoMungu akubariki zaidi ali k, sheikh tumekuelewa,
@
@khadijasalum23024 years agoShekh maa shaa allah umetoa nasaha nzuri sana maa shaa allah.
@
@zemgotanar52644 years agoOngera shekhe wangu nimejifunza mengi kutoka kwako kwa maerezo mazuri asante baba. 22
@
@fakihichivelekwa76374 years agoAli saleh kiba mungu amzidishie kher inshallah.
@
@mozaothman75304 years agoMashallah m/mungu akuzidishie ali kiba.
@
@anoldamoni93034 years agoM/mungu akuongezee pakubwa zaidi ya ulipotoa allikiba hongera mnoo.
@
@TheOne-fi6cs4 years agoStara nyingi sana. Nimekuelewa sheikh. Nmekupenda sana.
@
@sadatihaji76714 years agoAllah amzidishie pale alipotoa na ampe mwisho mwema na amuongoze njia ile ilionyooka inshalla.
@
@fathomcool99024 years agoAlhamdulillah allah amjalie kher inshaallah. 1
@
@mussamwamoto82314 years agoSafi sana kijana, mungu anajua zaidi japo wapo watakao pinga mana ya diamond yalimkuta, hapa watakao swali ni waumini na sio kiba wala diamond.
@
@salmaali70804 years agoShekh sema kweli, hizo pesa una uhakika gani ni zahalali, mziki ni haram, pesa za haram huwezi kufanya jambo is halali, swadaqaangaliya majuto. Allah amuepushe na adhabb yaalichokifanya mpaka alipofariki, nyinyi mwajenga miskiti kisha mwaingiya miskitini na tatuumwenye tatuu ni haram kuingiya mskitini, allah atuongoze njia yajamii. Islam. ...Expand
@
@deedan65384 years agoHongeran sana team kiba kwa hili jambo kubwa.
@
@hassanifumo48544 years agoMashallah king kiba umejitengezea akhera yko.
@
@kpspalmer33644 years agoSheikh umeeleweka saana mkuu alikiba mungu atakulipa kwa jambo ulilolifanya. 50
@
@habybmaruwan9994 years agoMasha allah tuzidi kujaza swafu kila swala.
@
@hashimuninga35354 years agoMwenyezimungu akutanglie kila idaraa amen.
@
@sharushishbahal55164 years agoAli kiba masha allah mungu linde wewe na familia yako.
Related videos for ALICHOKIONGEA ALI KIBA Baada YA Kujenga MSIKITI:
na kumjalia yote mema yanayompendeza mwenyezi mungu. 2
ila tusitetee ouvu
ikiwa pesa alizo jengea zimetokana na mziki
hakuna kitu hapo ni vumbi kama ni mziki haramu na kila
kutokana na mziki huo ni haramu
mwambieni arejee kwa allah na achane na mziki
tusipakane poda kwenye mambo ya allah. ...Expand 11
sheikh tumekuelewa,