Duration 2:51

JINSI YA KUPIKA VITUMBUA LAINI

1 628 watched
0
13
Published 28 Jun 2020

karibu katika mapishi na Amanda, leo tunapika vitumbua laini vya mchele mahitaji mchele robo kilo uliolowekwa usiku mzima sukari vijiko 3 vya chakula hamira nusu pakiti iriki coconut cream/tui la Nazi zito kama ni mara yako ya kwanza kwenye channel hii basi usisahau kusubscribe, kulike na kuacha comment yako hapo chini, asante.

Category

Show more

Comments - 3