Duration 12:44

MAHAKAMA KUU YATENGUA HUKUMU YA VIGOGO CHADEMA, MBOWE, WENZAKE KURUDISHIWA MIL.350, WAKILI AFUNGUKA

16 910 watched
0
93
Published 25 Jun 2021

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetengua hukumu ya kesi ya uchochezi dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake na kuamuru warejeshewe kiasi cha Sh.Mil 350 walicholipa kama faini.Anaripoti Mika Ndaba.

Category

Show more

Comments - 94