Duration 8:00

MHE LAZARO NYALANDU AELEZA CCM ILIVYOKUWA NA SASA NI TOFAUTI

49 188 watched
0
274
Published 18 Dec 2019

Category

Show more

Comments - 153
  • @
    @benwater49575 years ago I was praying and waiting with great thirsty for someone to be brave enough to speak this truth. Surely you have done me justice today nyalandu. I just . ...Expand 4
  • @
    @isaackchambo26425 years ago Safi sana kamanda nyarandu, lumba na vijana wao wataponda sana lkn huu ndio ukwelj na km sio ukweli kwanini mtumiechaguzi. 5
  • @
    @dittokalole32865 years ago Watanzania raha sanaa ushabiki kama wotee!
  • @
    @damascongongi16095 years ago Watanzania wa sasa sio wa miaka kumi iliyopita wameshajua mbivu na mbichi. 2
  • @
    @gideonkalumbu52205 years ago Hana namna, lazima aseme vile. Gate la uongozi wake limefungwa. 3
  • @
    @damianmachira75355 years ago Hi ni nchi kila mtu lazima atambue tanzania ni zaidi ya kila mtu. 2
  • @
    @mecksonsamwel26665 years ago Mtasubili sanaa. Ccm chama dume. 2020 magufuli anatosha hatuoni wakumpiku magufuli hapo wote vilaza2. 4
  • @
    @josephnchunga12475 years ago Mmekwisha ninyi hamuwezi ccm vichaa ninyi. 5
  • @
    @makongorowassira65935 years ago Nnafurahi kuona angalau mnajipa moyo kiasi fulani. 2
  • @
    @eaglecrown38725 years ago Kwa maelezo hayo nyalandu ni jibu tosha kuwa tanzania kuna demoklasia nzuli sana mana ni jibu kuwa magufuli alimbwaga lowasa kihalali, jpm jembe letu ikulu alifika kihalali kabisaaa. 7
  • @
    @mathiascharles57695 years ago Ndo tuseme mnajipa matumaini yakijinga. 5
  • @
    @samwelmwaipopo14555 years ago James swai umesema nyalandu kasema kweli, tatizo sisi watanzania, tunapenda ushabiki tu, sasa je! Wewe hupendi ushabiki? Kama wewe mkweli umesahau nyalandu . ...Expand 2
  • @
    @alutefabian8314 years ago Hizo bang, i rudisha wanyama wetu bwege wee.
  • @
    @samuelmwambashi41685 years ago Kuna watu wanajimaliza kisiasa kipumbavu sana. Chama kinakufa.
  • @
    @massawejacob5 years ago Kwa hiyo mishuma ikiwaka utarudii. Mishuma yake ikiwaka anarudiii.
  • @
    @albertnshunju41725 years ago Wewe kibaka uliona hawezi kuiba tena chini ya magu. 5
  • @
    @masachihorticultureunitcol7115 years ago Rudisha twigakwa ndege kwenda nchi za nje. Sema wewe ukitegemea magufuli akikunyima uwaziri ndio maana ukajiondoa. 1
  • @
    @jamesswai65835 years ago Nyalandu yuko honestly sana. Tatzo watz hatupendi ukwel tunapenda ushabiki. Nyalandu nmemwelewa kinoma! 7
  • @
    @massawejacob5 years ago Wapendwa tuweke akiba maneno yetu! Tuweke akiba maneno yetuunyimbo.
  • @
    @blandinamwarabu50255 years ago Nyie piganieni ruzuku tu msidanganyane.
  • @
    @paulmorumbe54935 years ago Mnadai hakuna uhuru wa kujieleza kama kuna watanzania wenye akili wanajua kuchambua pumba hizo dah bac wazir ulifnya nini kwenye wizara yako starehe tu. 1
  • @
    @rinovarthiliwi13144 years ago Huyu ndie mwana siasa bora sana hana majungu na hajawahi ongelea mtu yeyote ndani ya ccm na ndani ya chadema.
  • @
    @paulommao79925 years ago Aiise huyu lazaro nyalandu ni muungwana sana, nakupenda sana na naamini daima hautarudi ccm.
    asante sana kamanda.
    3
  • @
    @tumatuma64785 years ago Huyu ndo walewale kina sumae na lowasa ukikaribia uchaguz tu wanahamia chadema kutafuta ufisadi kisha wanarudi muongo mkubwa.
  • @
    @massawejacob5 years ago Kuinadi ccm kweny mkt wa chadema! Hii sio sawa. Ya chadema yabakie huko na ccm yabakie huko. Ukitoka chadema waachie yao na ukitoka ccm waachie yao! Otherwise unataka kurudi? Karibu nyumbani pamenoga!
  • @
    @samsonmwijage16025 years ago Ulibanwa mbavu ndo sababu ulitoka ccm. Huna jipya unafurahisha kikao tu.
  • @
    @paulommao79925 years ago Lazaro tu ndo mwizi cyoo, wajinga wapo wengi sana. Kama mwizi mbona hawamshtaki na anadunda tu.
    wote mnaokoment kisisiem sisiem nendeni chap id="hidden6" mkasome kitabu cha mzee wetu rais beni mkapa ambaye kwa dhati anatufundisha cc sote na si kutukana tu
    . ...Expand
  • @
    @worldtechnology4925 years ago Ivi nec n chadema au ccm maana sielew me nahis watajitoa tena 2020 hawatakubali matokeo nec nilisikia n ccm sasa sijui chadema wanaenda kumtoa jpm polepole amekufa au yuko hai.
  • @
    @peteropanga97035 years ago Jamani siasa nindiosana watu kutumia jina la mw nyerere.
  • @
    @hawakassimu61205 years ago Chadema ndio chama cha kupokea mafisadi ilimpkea lowasa sasa iko na huyu fisadi wa wanyama nyalandu kwendraa. 1
  • @
    @samwelmwaipopo14555 years ago Nyalandu yote sema tu, ila unajutia kimoyomoyo uamuzi wako, ulizani utahama ccm na kuyumbisha chama lakini halihalisi umeiona ccm imara zaidi, na mwisho wako upo kama wa sumae na lowasa. 1
  • @
    @yassiniferuzi28674 years ago Acha kujifanya kondoo wakati wewe ni chui kwanza turudishie twiga wetu.
  • @
    @richardthobias56574 years ago Kati ya watu wanaopoteza muda, na nguvu zao ni ww nyarandu, hivi tanzania hii nani atakupa kura ww? Jidanganye ndugu yangu huna ambacho unaweza kuambulia.
  • @
    @peteropanga97035 years ago Hayo makofi yanatoka moyoni kweli? Je leo akirudi ccm itakwaje? Makofi yatapigwa tena?
  • @
    @hassanmirambo5645 years ago Utofauti ni ile unanijua mimi ni nani imeisha hivi sasa ikitokea bahati mbaya nyalandu ukaniuliza unanijua mimi ni nani nakujibu kwa herufi kubwa wewe shahawa tu au wewe udongo tu na hunifanyi chochote pimbi wewe. 1
  • @
    @piushappyness2265 years ago Mwizi we lazima. Uone tofauti umebaniwa shenzi zako. Nenda kamwambie aunt ezekiel. 1
  • @
    @georgemaji79155 years ago Alieiloga ccm ni wachawi wa gambosh. Ila kk. Mchawi anaweza kumloga mtu mmoja. Ila sisiimechacha kkna wanajishauri what next: mtuachie nchi tufanye maajabu!
  • @
    @madukaj.j.69995 years ago Nakosa cha kusema lkn dhahiri huyo ana cha kujibu kuhusu twiga. 5
  • @
    @errydeo88655 years ago Ccm, inakuhusu nini wewe. Ccm sio sera. Idiot. 2
  • @
    @afropatriot77695 years ago Turudishie tembo wetu wewe na kinana mmeuza wanyama huko wee kuzuiwa mnasema mishumaa inazima hahaha.
  • @
    @blandinamwarabu50255 years ago Kumbe neno kujimwambafai nimegundua lipo chini.
  • @
    @designdesign44265 years ago Hili kenge linaongea nini? Njaa tu inalisunbua umefanya kipi ulipokua waziri nasasa unataka ufanye nini. 1
  • @
    @yasinshaban49335 years ago Aliyeshibia jikon humkejel anayesubir dining room.
    et tulifundishwa uaminifu, uaminifu gan
    wale twiga veep?
    3
  • @
    @raymondkagaruki55295 years ago Unajipya ulinyimwa starehe ya kwenda nje ludisha tembo zetu. 5
  • @
    @kaminyogemwachelwa98845 years ago Heri kuacha mali za udhalimu na kupiganianyarandu. 1
  • @
    @mrukerewe21005 years ago Huyu system ili mkataa so nazani magu akitoka madarakani huyu analudi ccm niamini mimi haya maneno yake tu toshaa tayali kuludi ccm. 2
  • @
    @judaspantaleo97795 years ago Nikiangalia uso wako naona wanyama kadhaa waliotoroshwa. 1
  • @
    @faustinekaniki3185 years ago Hili jambazi la twiga bwana hata silielewi. 1
  • @
    @mchungajiemmanuelmtui4945 years ago Mahira tuu ndio hayatamwelewa nyalandu ila nyalandu anaupendo wa dhati na taifa letu.
  • @
    @richardsanga71585 years ago Mwendawazimu huyo muza twiga wetu huyo. 1
  • @
    @killianwambura95845 years ago Mpumbavu ww yaani unaropoka bila aibu fisadi mkubwa. 4
  • @
    @zachariamaige17095 years ago Unaongea uhalo tu. Waambie sasa na wenzio wawe wanasaini matokeo yanapokuwa tofauti na matarajio yao. 3
  • @
    @jilalafumbokisabo36335 years ago Jaman hiv mbaya jamaa anaisha mwili na akili duu? 1
  • @
    @lameckbalekere19625 years ago Wenyalandu shoga wewe kafilwe nawazungu. 2
  • @
    @Felix722825 years ago Hapo anaongea nini huyu? Aseme tu ukweli kuwa aliona kasi ya jpm haiwezi. 1
  • @
    @scayroad85005 years ago Huna lolote we ni fisadi ndio maana ukakimbia kaa hukohuko jambazi. 1
  • @
    @majosamalundi40165 years ago Kila mtu naona anakomenti twiga kama ushaidi upo si mpeleke makamani.
  • @
    @musakavenuke63785 years ago Hiyo ni hasila zako za kunyimwamkunga na uzazi ungalipo pili unalopoka tu je wale twiga mbona husemi?
  • @
    @charlesmurimi5925 years ago Sanaa nyalandu, ccm wameisha baada ya kujichagua wenyewe serikali za mitaa na kutumia dola sana. Siasa ni ushawishi na uzalendo na kuenzi demokrasia. 3
  • @
    @halimamasai22345 years ago We rudisha twiga zetu huna lolote hata haya huna shenzi wewe. 2
  • @
    @blandinamwarabu50255 years ago Hasira ya kunyanganywa tonge mdomoni lo ulitaka uwe waziri kweli mshumaa ulizimika ghafla.