Kila shabiki uwa anayo namna ya kuwasilisha love yake kwa msanii husika pale anapopata nafasi ya kuonana nae au kuongea nae kwa njia ya simu, hii ni njia ambayo shabiki wa wema sepetu ameona aitumie kumfikishia Wema salamu zilizopo uvunguni mwa moyo wake... #WemaApp