Duration 5:35

Wali Wa Kukaanga Na Mbogamboga Ni Mzuri Kwa Watu Wanaotaka Kupunguza Unene

1 355 watched
0
30
Published 20 May 2020

Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine!💕 Leo nimetengeneza wali wa mboga mboga ambao unafaa sana kama Mtu unataka kula mboga Za majani kwenye vyakula vyako. Ni Nzuri pia kama Upo unafanya diet kwasababu kuna mboga za majani kwa wingi. Video ya vyakula navyokula kwa siku kuwa na afya nzuri 👇🏽👇🏽 /watch/kLWcy8aAVlYAc Video ya chia seeds na faida zake 👇🏽👇🏽 /watch/kt-itNMdTtrdi Video ya kusafisha ngozi iliyopita 👇🏽👇🏽 /watch/EDVOwBJCBDFCO Unaweza kunipata kwa: Instagram: bariki.k Email adress for sponsorship or business: bariki. Karoli@gmail.com

Category

Show more

Comments - 21