Duration 6:8

RC DSM ALIVYOGAWA NYAMA KWA WANANCHI NG'OMBE 70, MBUZI 100, NGAMIA 4

7 242 watched
0
56
Published 31 Jul 2020

Category

Show more

Comments - 29
  • @
    @faizaahamd20524 years ago Mashaalah ni jambo jema sana. Mungu akubariki inshaalaah dua nying sana.
  • @
    @ramangadu64514 years ago Nakubali maneno kidogo. Vitendo vitaongea. 1
  • @
    @ameniameni6174 years ago Kweli kabisa nijambo jema kuwakumbuka ndugu.
  • @
    @kulwaswetu44574 years ago Walahi huyu rc dar aiwezi kabisasaana huyohaitoiweza dar.
  • @
    @jmnafaka94514 years ago PETITMAN AFUNGUKA KUHUSU NDOA YA ESMAPLANUMZ DUH! LINK HII HAPA
  • @
    @tmtwane90924 years ago Ni vita ya zuchu na mnigeria gusa link kwa full story.
  • @
    @ameniameni6174 years ago Uku omani kila nyumba imechinga lakini corona bado tishio akuna kwenda msikitini pia mpaka nyama leo atukuweza kugawa kwa majirani. 1
  • @
    @saisaikalyasi59984 years ago Uyu mwamba kaamua kuwasahaulisha wanadsm kuhusu makonda.
  • @
    @brobabuu39734 years ago Huyu ndugu atafanikiwa sana ktk uongozi wake fitna isipotumika juu yake. Yule kijana sipati picha huko alipo na yeye. 1
  • @
    @angelinasimchimba7054 years ago Yan huyu hafai kabisa kua rc anaongea kama baloz wa nyumba 10.
  • @
    @MbayoProtais4 years ago Baada ya kuona ya dunia basi mubarikiwe wapendwa na huu wimbo wangu