Duration 7:4

TAARIFA NI KWAMBA WATUHUMIWA WAMEKAMATWA

1 592 watched
0
8
Published 10 Aug 2021

Nimeona taarifa zinasema kwamba watuhumiwa waliofanya unyama kwa hawa ndugu zetu washakamatwa Kama wadau tumefarijika sana angalau ni hatua nzuri sana ya kudhibiti vitendo vya Udhalilishaji kwenye jamii yetu. Video hii ni ndefu ina taarifa nyingi zaidi ya ile ya mwanzo unaweza kuitazama tena

Category

Show more

Comments - 5