Duration 2:2

TAZAMA | MAAGIZO YA WAZIRI UMMY KWA WALIMU WATAKAOKIMBIA SHULE ZA VIJIJINI

2 095 watched
0
10
Published 7 Sep 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Ummy Mwalimu amepiga marufuku kitendo cha walimu waliopangiwa wilaya za pembezoni mwa nchi kubadilishwa katika vituo walivyopangiwa bila ya kupeleka walimu mbadala Waziri Ummy ametoa tamko hilo jijini dodoma wakati akizungumza na watumishi wa tume ya walimu pamoja na kukabithi zaidi ya pikipiki 70 kwa makatibu wasaidizi wa tume ya walimu ambapo amesema kwa sasa kumekuwa na wimbi la baadhi ya walimu kutaka kubadili vituo vyao vya awali na kuhamia mjini. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176 ... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig ... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid ... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Category

Show more

Comments - 0