Duration 5:44

OCD KAMATA HUYU Weka NDANI, Yaani CORONA ITUPIGE, MAFURIKO, na SUKARI MPANDISHE - DC SABAYA

89 822 watched
0
439
Published 28 Apr 2020

"OCD KAMATA HUYU Weka NDANI, Yaani CORONA ITUPIGE, MAFURIKO, na SUKARI MPANDISHE" - DC SABAYA Ikiwa ni siku chache zimepita tangu serikali kutangaza Bei elekezi ya Sukari kwa kila mkoa bado Baadhi ya Wafanyabiashara wameonekana kutofuata maelekezo hayo ya serikali... Hali hiyo Ni kufuatia msako wa mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, aliyoifanya na kubaini idadi kubwa ya Wafanyabiashara kuwalangua wananchi kwa kuuza Sukari kwa kilo zaidi ya Bei elekezi ambayo Ni shiling 2700 kwa mkoa wa Kilimanjaro na wengine kuuza mpaka shilingi 3500 kinyume na maagizo ya serikali.. Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania http://bit.ly/exclusive_interviews

Category

Show more

Comments - 298