Duration 9:13

Rais Magufuli alivyokutana na bilionea namba 1 Afrika Ikulu Dar es Salaam

227 218 watched
0
818
Published 10 Dec 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Desemba 2016, amekutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara, Alhaji Aliko Dangote.

Category

Show more

Comments - 78