Duration 4:30

Dogo awaliza kwa wimbo wa Aslay

799 419 watched
0
2.3 K
Published 6 Jan 2019

__ Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. ******************************************* Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: /c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+ harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/ #Aslay #Mama #YamotoBand

Category

Show more

Comments - 197
  • @
    @abdallahndibalema87975 years ago duniani amna mtu kama mama nampenda sana mama yangu kipenzi R. I. P MAMA kama unampenda mama yako lije 21
  • @
    @brilliannangila33285 years ago Waaaaau barikiwa sana dogo mboso Fanya mpango huyo mtoto akawe msanii pia 2
  • @
    @bimaisarankamia41535 years ago Mashaallh .umeimba vzr mungu akutangulie ufikie ndoto zako 5
  • @
    @latefaafreca54865 years ago Inshalla mungu atakuwa nawe siku zote nakuombea uwe mstaarabu. Ameen 4
  • @
    @haulefrancis28625 years ago Mama angu hakuna anae fanana na we chini ya jua nakupenda Sana we ni nguzo kwangu Nakupenda sana mama 26
  • @
    @rahmasimba76075 years ago mungu hakulaze maala pema mama angu,naumia mm 7
  • @
    @zakeishengomaeward59185 years ago Mtotp huyu ako vizuri sana aseee God bless him 8
  • @
    @maryrosechamanga75535 years ago R.I.p my mumy nmekukumbuka sana mama yangu I wish ungemuona mwajina wako synosure. 4
  • @
    @sophicatesalim97575 years ago Nice babangu mungu akukuze uje utimize ndoto zako 2
  • @
    @ashazuberi21865 years ago Nimempenda dogo mungu amkuze afike mahali pazuri kama ilivyo ndoto yake 6
  • @
    @mercymoshi36665 years ago Nimemkumbuka mama angu jmn.R.I.P mama.kama umetokwa machoz kwa wimbo huu weka like😭 126
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15963 years ago Safi fella jaman kaka yangu yupo alikuwa Ana kipaj paka kutunga nyimbo anajuwa
  • @
    @martinanungu71405 years ago Daah yan uyu dogo amenkumbusha mama angu,na anakpaji kwel Mungu amjalie
  • @
    @jumahamisi2915 years ago Kama umemuona dogo mmoja kaja kuokota ela afu kaludi..tujuane 28
  • @
    @happyjonathan25605 years ago Wenye mama ongeren sana tusiye na mama R I P mamy 24
  • @
    @lilykanevergiveup22825 years ago Gonga like kama unajua huyu mtoto amebarikiwa na ataeda far 4
  • @
    @mariamhamza14195 years ago Nimemkumbuka mama yangu kipenzi,,,,, daima nitamkumbuka mama 1
  • @
    @mwambietv76145 years ago Fella upo good Sana mzee Sema Hawa madogo wanaanza kiburi wakiwa wametoka Bila kusahau ww ndo umewatoa,, ccm tu hapo ndo sijapenda Maccm bhana 2
  • @
    @esterabonga79475 years ago ivi uyu dogo angeenda bongo star tungemskia salama kasema ww katafute jembe ukalime 😁😁😁😁 5
  • @
    @milcahjosiah39675 years ago Mungu mtunzee mama angu nakupend my mum 1
  • @
    @annahmsomba66854 years ago Takukumbuka daima ulale pema mama angu
  • @
    @rosemerry51745 years ago mama ndo kila kitu kwangu nakupenda mama
  • @
    @abdiyathe62215 years ago I love Tanzanian mother's mashallah 2
  • @
    @puritielenns15355 years ago it remind of my mum whom i can't rem her face i wish angekuwepo mamaa 1
  • @
    @neemashayo13495 years ago No one like mom nakupenda sana mama angu kuliko chochote
  • @
    @radhiasalum71565 years ago daaa nimelia hii nyimbo acha tu.ila inakela hawa bukubuku tu lo!🙆🙆 1
  • @
    @rajabusanani40325 years ago dogo yupo vizur, ila muheshimiwa uvaaji gani huo aisee, au ndo vileeeee tupo kitaani kwetu mbagala 2
  • @
    @hamzanamtunga41055 years ago R.I.p my mumy ulale pema pemoni always irember my mumy 1
  • @
    @hollytae30603 years ago Waittt that’s the guy from bongo star search 😭😭
  • @
    @radhiasalum71565 years ago daa we baba mola akujalie maana wengi wanazurura mitaani tu 1
  • @
    @meshackmganga69485 years ago Yaan hawa jamaa wanatoa bukubuku tu duuuu 7
  • @
    @gracegilbert28825 years ago dogo yuko makin na pesa anazo tuzya mpaka ana katakata maneno😀😀😀
  • @
    @mtuwawatumtunamtu25205 years ago Dogo kaniliza yaani maana nimemkumbuka mama
  • @
    @mgayamgaya5 years ago sisiem bwana naona mnatoa bukubuku tu mnamchomesha na jua dogo na huyo jamaa aloweka mfukoni mwa dogo atakuwa kaweka jero au mia 13
  • @
    @yohanadeusi56605 years ago mbona buku ndio nyinginyingi erufu kumi hamna wazee wa ccm 2
  • @
    @laymapeace45385 years ago anavyoziangalia izo pesa zake apo chini😂😂 2
  • @
    @isihakamtaalam20995 years ago Ccm bana mbona bakhili toeni pesa jamn dogo kaimba. 2
  • @
    @rashidyiddy24255 years ago Dogo aslai hakuwezi ww mpaka unaniliza manaunaimbakwauzuni
  • @
    @wazawaentertainment18475 years ago Uwezo binafs Dogo mleten wazaw Tz tumsain 1