Duration 3:11

TASWIRA KIMATAIFA : Zambia yaendelea kumuomboleza rais mwanzilishi wa nchi hiyo Kenneth Kaunda

199 watched
0
2
Published 19 Jun 2021

Serikali Ya Zambia Imetangaza Siku 21 Za Maombolezo Ya Kitaifa Kufuatia Kifo Cha Muasisi Wa Taifa Hilo Kenneth Kaunda. Serikali Ya Zambia Imeamuru Bendera Zipeperushwe Nusu Mlingoti Na Imepiga Marufuku Matukio Yote Ya Burudani Kwa Heshima Ya Kiongozi Huyo Wa Zamani Aliyekuwa Na Haiba Kubwa. Kwingineko, Iran Ijumaa Tarehe 18 Juni 2021 Inafanya Uchaguzi Wake Wa Kwanza Wa Rais Tangu Kusainiwa Kwa Mkataba Wa Makubaliano Ya Mpango Wa Nyuklia Kati Ya Nchi Hiyo Na Mataifa Sita Yenye Nguvu Duniani. Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #KennethKaunda #IranElections

Category

Show more

Comments - 0