Duration 1:14

Panya Magawa anayetambua mabomu yalyotegwa ardhi miongon mwa mashujaa wanaonusuru maisha ya wanadamu

218 watched
0
1
Published 7 Oct 2020

Panya Magawa ambaye alitolewa Tanzania baada ya kupewa mafunzo ya kunusa na kutambua mabomu yaliyotegwa ardhi ni miongoni mwa mashujaa wanaonusuru maisha ya wanadamu. Panya huyo tayari ameshatambua mabomu 39 nchini Cambodia. Shirika moja la Uingereza lilimtuza tuzo ya juu kwa wanyama ya dhahabu kwa ujasiri wake. Je wewe ungemtuza vipi?

Category

Show more

Comments - 0