Duration 7:57

KAENI KIMYA .By Paulo R.Mayunga

42 854 watched
0
156
Published 26 Jan 2020

KAENI KIMYA ni moja ya wimbo mzuri sana katika albam mpya ya KWAYA YA MT.AGUSTINO WA HIPPO -UDOM COED ijulikanayo kwa jina NITAMWIMBIA BWANA.Ni wimbo unaowaelimisha watu juu ya umuhimu wa uinjilishaji kwa njia ya kuimba.Tafadhali utazame ili nawe unufaike na ujumbe mzuri kutoka waimbaji hawa nguli kabisa.PIA HAKIKISHA UNAPATA NAKALA YA DVD KWA KUPIGA SIMU NAMBA +255 742 372384 KARIBU! HAKIKISHA UMEBONYEZA KITUFE KILICHOANDIKWA-SUBSCIBE ILI UWEZE KUBARIKIWA NA NYIMBO NYINGI NZURI KATIKA CHANEL YETU. PIA LIKE NA ACHA UJUMBE

Category

Show more

Comments - 24