Duration 10:32

Siku hatari za mwanamke kushika mimba

149 574 watched
0
1.4 K
Published 23 Jul 2020

#tujengemahusiano

Category

Show more

Comments - 76
  • @
    @swidathswaleh94423 years ago Tushriki tendo mara ngp kwny sku za htr. 6
  • @
    @lailatjuma6562last year Mm naomb kuulza ukishirik mfno kama leo asubuh yake ujahisi maumiv upande kushot mfno wa kichomi inakuaje. 2
  • @
    @mustaphaamiri78494 months ago Ata mimi nikimaliza kufanya mapenz mbegu zinatoka nyingi. 1
  • @
    @mwanakhamissaid7162 years ago Mm nko n mimba ya 7wks n nahis kiungulia na matiti yamevimba n mate kujaa mdomon cjihis vizuri yaani naskia kuchoka mwili mzito shida nn. 1
  • @
    @mwanaidiwalii13192 years ago Mm nimeingia period tareh 8/2/2021 then nikafanya tend la ndoa tarehe 28/2 je nauwezekan wa kupata mimba@.
  • @
    @esthergaspar28245 months ago Hello doctor me nilingia p tarh 31 nimend siku tan sk y sab nikashilik tend nitakuw sw.
  • @
    @user-oo4hb6lv8m4 months ago Doctor mm naingia priodi 6, 7, 8, je nilkifanya mapenzi siku ya tatu naweza kupata mimba.
  • @
    @dorahmassawe22353 years ago Kama unaenda siku saba adi siku nane uwo nimzunguko utakuwa wasiku ngapi. 7
  • @
    @user-sh3ps2ug7d10 months ago Mm naingia tarehe 28 je tareh za kubeba mimba nizip.
  • @
    @lucymwaipungu8931last year Doktya mimi nimeanza skuzaku zaheth leo tale 2/3 skuzangu zahatyali nizipi.
  • @
    @BhokeKambarage3 months ago Hivi ni kwann ukishiriki kwenye tendon la ndoa unakaa ndani ya dakika 2 hivi hizo mbegu za kiume zinatoka nje na huwa ni nyepesi sana.
  • @
    @philomenajames32663 years ago Sante kwa somo hili lkn kuna wengine tarehe zao ni za kuyumbayumba.
  • @
    @JuliaNsanze-un8ys5 months ago Mimi tarehe zangu haziereweki naingea p siku 5 naweka siku 5 tena zinakua kumi harafu naweka siku 8 zahatari sijawahi kupata mimba huu ni mwaka wanane sijawahipata mimba.
  • @
    @adozabron96833 years ago Ukishiriki tendo la ndoa ukiwa siku ya kumaliza siku zako mtu anaweza kupata mimba. 3
  • @
    @humphreyisaya60033 years ago Jaman kabla mwanamke hajahaza kutokwa na damu sikutatu mbele alafu akahaza kutokwa na hedh hapo anaweza akawa na mimba. 6
  • @
    @marymhinda84322 years ago Na wenye mznguko wa siku 38 siku ya hatari ni ip?
  • @
    @rosebonny97002 years ago Jmn mm nimeanza kuona siku zangu tare 4 na tano na sita nikamaliza siku tatu tu na kaa sikungapi ndo nibebe mimba maana sijakutanane mpaka sasa.
  • @
    @juniojackson14062 years ago Nimeanza 26 nmemaliza period tare 31 sikuzang za hatati zip.
  • @
    @leahzabron-1450last year Mambow, mm na swali siku ya hatar unatakiwa kufanya mara ngp ndo mimba iingie.
  • @
    @wemazai83582 years ago Hz sik unahesabu vip kwamb mzunguko ulivyo.
  • @
    @yusrakhamis67582 years ago Je unaanz kuhisabu sikuyakutok hedhi au kuingia.
  • @
    @rassoosidi73889 months ago Mimi nilisex jana n mtu wangu je naez pata ujauzito juu nilinyesha 29 mpka date 5 n sikuonana n yy mpka jana je naeza pata ujauzito bt nilikunywa p2. 1
  • @
    @anastasiabenjamin247310 months ago Naomba kuhuliza kama mwanamke hukiwa humeshika mimba alafu hukashiliki mapenzi na mwanaume hambae mbegu zake niafifu he mimba hinaweza kutoka.
  • @
    @user-dw7ou2ir9z4 months ago Kama akiingia siku tatu inamaana siku ya hatali utaanza kuhesabu siku ya nne au.
  • @
    @neemandoghwe88752 years ago Nimemaliza period tarehe 18 nikaja kusex tarehe 8 je naweza kupata mimba.
  • @
    @mwajumamustapha34362 years ago Samahan mm nime kutan na mr siku za hatal hala baad ya wiki mbil nilikua nikion dalili zamimb halaf napiam najikut sin.
  • @
    @eliangalla89022 years ago Tarehe9-hadi11siku gani au tarehe ipi in hatali yaani kuna uwezekano wa kupata ujauzito?
  • @
    @marymercimutua95023 years ago Na period ikija like 4 day' s, then iruke 2 days, ikuje tena like 1 day or 2 days, iyo uwa mtu ako kwa hatari?
  • @
    @najmavuai74282 years ago Hizi sik za kurud rudi nyuma inakuwanje.
  • @
    @gracekibena16382 years ago Kuna wengine wanasema siku za hatar ni sik tano kabla ya damu na siku tano baadae ya damu, ni kweli doctor. 9
  • @
    @eliangalla89022 years ago Tarehe 9 hadi 11 ndo anaenda mwezinii siku hatari ni ipi ambayo anaweza kupata ujauzito.
  • @
    @martharhobi45639 months ago Mm ninaona siku za talehe 21 ninaomba nijuwe siku ya kushika mimba.
  • @
    @rehemaseleman-gb7rglast year Docter mie niliingia kwenye hedhi tarh 8. Siku zahatar nikasexy siku ya 18, 19, 20, 23, je nitakua niko sawa? Sijakosea? 6
  • @
    @janethdonart5842 years ago Nataka kuuliza mm nikmalzaga kufanya tendo znapta kama dk2 unaona shahawa znatoka nying2 kwann nahpo naweza kupata ujauzto. 10
  • @
    @emmyclaud77412 years ago Nimeingia period tar 26/01/ had tar 29/01/ afu huu mwez unaixhia 31 pia nkashiriki tendo la ndoa 03/02/ naweza kupata mimba. 1
  • @
    @huqmannchimbi52963 years ago Kama mwanamke mwenye? Siku 37 inakuwaje.
  • @
    @sakinamasudi90233 years ago Samahani doctor mikila ikifika tarehe 15 lazima niingie kwenye siku zangu naninafanya kama unavyo elekeza ila sijapata mimba naomba unisaidie. 1
  • @
    @PauloFrank-kj6xq11 months ago Je nikilala nayetarehe 6 mpaka 10 arafu tarehe 11 anaweza kupata ujauzito. 1
  • @
    @sultanbadran25222 years ago Ukitoka siku ya periad ambazo mwanamke anaingia siku 4 siku ngapi mbeleni ukiingia tendo la ndoa zinakua ni salama? 3
  • @
    @dinnahjumanne2002 years ago Naomba kuuza siku ya kumi siwezi pata ujauzito.
  • @
    @omaribenjamin-965last year Hizi tareh 26 mpaka 30 hapo siku ya hatal n siku gan.
  • @
    @shamsachuga36812 years ago Je kwamfano nikifanya mapenzi wakati nimetoka tu kwenye mzunguko tabeba mimba. 2
  • @
    @agneskivike95823 years ago Hizo siku 2 ambazo unatakiwa kuzitoa kabla ya siku za hatari ni ipi na ipi. 2
  • @
    @mapenzimumbere59463 years ago Tushiriki tendo maragapi siku yahatari ili mimba udaki. 4
  • @
    @everlyneiminza57223 years ago 35 kwani kuna mwezi unaopitiliza adi 37. 2
  • @
    @amediuskipera48334 years ago Somo muhimu sana kwa wanandoa!
    kwa makala mbalimbali za mambo yenye mafunzo na ya kusisimua, bonyeza chaneli hii ya dunia duara. Thank me later!
    8
  • @
    @happymangia76762 years ago Mimi nimeona period tarehe 13 mwezi wa 8 nkamaliz tareh 16 nkalala na mwanaume tareh 3 na 4 je naweza kupata mimba.
  • @
    @hamissinyamberelast year Na mimi tare zang kuw zinabadirik san nafany.
  • @
    @RehemaJuma-lx2qo9 months ago Nmetoka hedhi halafu nkafanya mapenzi siku ya 8 je naweza pata ujauzito.
  • @
    @takyatupu68393 years ago Hello doctor mimi nimepata damu tarehe 22 mpaka tarehe 27 nikafanya sex tarehe 3 mpaka tarehe 5 hp ikoje nasubiri damu yangu tarehe 15 lakini nakojoa sana maziwa yameja kwa mbali vp hp ikoje doctor.