Duration 7:49

Jinsi ya kupika Half Cakes with English Subtitles

904 watched
0
40
Published 20 Sep 2020

#cakes #sweetbuns #halfcake Mahitaji Unga mug 2 zijae kdgo sana na kama 2 /12 vikombe ujazo wa 250ml kikombe Sukari nusu mug Siagi ya chumvi iloyayushwa yenye uvuguvufu nusu kikombe , uzuri upate ya manjano kdgo Bpoda kijiko kdg 1 na nusu Mayai 2 Maziwa 1/3 kikombe Bizari tamu 1/4 kijiko kdg

Category

Show more

Comments - 10