Duration 6:49

RAPCHA AFUNGUKA LISA | VIEWS M1 | NILIANZA MZIKI 2015 | NILIIKUWA | MAJANI ALINISAIDIA Rapchalisa

147 watched
0
1
Published 26 Jun 2021

rapcha kwa sasa ambaye anatamba na kibao cha Lisa kinachofanya vizuriii kwenye social media zote amabapo kwa mara ya Kwanza rapcha kuachia kazi amabayo imempa mafanikio makubwa Sana kwenye industry ya bongo fleva Right now tunajua kwamba rapcha yupo chini ya Bongo record inayomilikiwa na producer MAJANI pia kwenye video yupo Gigi money ambae amecheza scene ya mwisho.video Queen aliyetumika kwenye video ya Lisa ni actress wa series ya juakali ambea pia jina lake anaitwaa Lisa enjoy full video SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU

Category

Show more

Comments - 1